Ushauri wa Kuielewa hii Sienta

Ushauri wa Kuielewa hii Sienta

Kimeo2020

Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
7
Reaction score
6
Toyota Sienta # D
Year, 2004
Engine, 1400cc

Milage, 100,000 km

Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano Dar-Dom kama inahimili. Je bei ni reasonable?
 
Gari poa sana, excellent fuel consumption 15-18km/l, engine Cc 1490 na sio 1400.
Halitaki rough roads
 
Kimeo2020 Hizo trip za Dar-Dom ni seasonal au fluently?... Kama seasonal chukua ila kama fluently usiinunue!!..
Hizo ni gari za town trip sio za kuibebesha mzigo wa punda
 
ubaya wa sienta ni spare, aisee ikipata shida au(ajali ndogo) utalia!
 
ubaya wa sienta ni spare, aisee ikipata shida au(ajali ndogo) utalia!

Unashangaza. Mbona wanasema gari za Toyota spare zake zimezagaa na zinaingiliana.
Labda useme kuwa ubaya wa Sienta ni mlango wa abiria wa ku-slide hivi.
 
Unashangaza. Mbona wanasema gari za Toyota spare zake zimezagaa na zinaingiliana.
Labda useme kuwa ubaya wa Sienta ni mlango wa abiria wa ku-slide hivi.
We Jamaa uliyejaza nissan fuga yako full tank kwa tsh. 85,000 hii ni Id yako ya ngapi?hahahah
 
Dah ila dash body yake haiko poa kabisa.
 
Mwambie akupunguzie bei kidogo make hizo gari hazina bei sana sasa hivi.
 
Toyota Sienta # D
Year, 2004
Engine, 1400cc

Milage, 100,000 km

Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano Dar-Dom kama inahimili. Je bei ni reasonable?
Sienta ni daladala huko Kenya kwa hiyo usivimbe Sana ukijiona mjanja
 
Attachments

  • images (37).jpeg
    images (37).jpeg
    19.5 KB · Views: 117
Back
Top Bottom