and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Gari ya kiboya Sana Sienta Bora Vespa.Sienta ni daladala huko Kenya kwa hiyo usivimbe Sana ukijiona mjanja
Gari ya kiboya Sana Sienta Bora Vespa.Sienta ni daladala huko Kenya kwa hiyo usivimbe Sana ukijiona mjanja
Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa.Nami nikiwa mdau mkubwa wa hii aina ya gari nina uhuru wa kutoa dukuduku langu juu ya comment yako
Kwakweli, halina mvuto.Tena yale macho yake ndo yananiudhi kweli....sijui jamaa walifikiria nn aisee
Hili gari muundo wa sienta nalikubali sana kutokana na kuwa ni mpv (multipurpose vehicle), lina nafasi ya kutosha ndani na pia muonekano wake unavutia hususan hizi model za 2014.Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa.