Ushauri wa kisheria kuhusu umiliki wa mali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa kisheria kuhusu umiliki wa mali

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Muhubiri, Apr 18, 2012.

 1. Muhubiri

  Muhubiri Senior Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Wanajamii, Salaam, Nahitaji ushauri wa kisheria , tumekubaliana na mke wangu kuwa yeyote atakaye kufa mali zote zinazobaki zinakuwa chini ya umiliki wake na kama akifa inabaki ni mali ya watoto na kama watoto nao wakifa inabaki kuwa mali ya kanisa lile ambalo tutakuwa mimi na mke wangu tumekubaliana, sitaki ndugu yeyote aguse mali yetu kuepuka usumbufu hasa kama mimi mume nimetangulia, nisaidieni hatua za kufuata kisheria kulikamilisha hili
   
 2. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  andika will aka usia then kadeposit high court
   
 3. Muhubiri

  Muhubiri Senior Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  asante nashukuru nimekupata.
   
Loading...