Kumbe na wewe mkuu GuDume, huwa siku nyingine unatoa hoja za msingi!Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.
1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.
Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.
Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.
Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?
WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.
Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.
Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.
Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"
"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Yeah hili nalo ni neon,kwangu sioni kama nchi yetu ina upinzani wa kisiasa,ni kukiacha chama dola kuendelea kutawala na vyama vibaraka kuwasindikizaKwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.
1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.
Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.
Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.
Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?
WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.
Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.
Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.
Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"
"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Huwa nawaambia watu hii nchi wananchi watajitambua kama wabunge wote watakuwa wa CCM. Hapo ndo watapoonesha rangi yao kamili bila kificho.
huwa naamini wewe ni mtu makini sana ila hapaWapinzani wengi hawawezi elewa hili sababu nao wanaangalia maslahi.namna ya kupata pesa wakati wa kampeni.ingawa wanajua hawatashinda. Wangewaachia CCM kila kitu. Then ndo ingefahamika kumbe hata CCM pia si moja mle ndani. Lakini pia ndo kila mtu angeonesha rangi halisi. Kwa sasa wanaonekana wana CCM sababu kuna upinzani.
Mmekosa sera mbadala za kuwashawishi wapiga kura sasa mmebaki ramli chonganishi tu.Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.
1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.
Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.
Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.
Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?
WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.
Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.
Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.
Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"
"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
MKUU GUDUME aksanteKwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.