Ushauri wa Kipuuzi kwenu Wapinzani: Mpeni Kamba Magufuli ajinyonge mwenyewe

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Kumbe na wewe mkuu GuDume, huwa siku nyingine unatoa hoja za msingi!

Kwa kuwa Jiwe anavitumia vyombo "vyake" vya dola waziwazi kuuminya upinzani.........

Hivyo hakuna uwanja ulio sawa wa kisiasa nchini........

Mwaka 2020 kwa mpinzani kupita kwenye nafasi ya ubunge, itakuwa ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Yeah hili nalo ni neon,kwangu sioni kama nchi yetu ina upinzani wa kisiasa,ni kukiacha chama dola kuendelea kutawala na vyama vibaraka kuwasindikiza
 
Wapinzani wengi hawawezi elewa hili sababu nao wanaangalia maslahi.namna ya kupata pesa wakati wa kampeni.ingawa wanajua hawatashinda. Wangewaachia CCM kila kitu. Then ndo ingefahamika kumbe hata CCM pia si moja mle ndani. Lakini pia ndo kila mtu angeonesha rangi halisi. Kwa sasa wanaonekana wana CCM sababu kuna upinzani.

Huwa nawaambia watu hii nchi wananchi watajitambua kama wabunge wote watakuwa wa CCM. Hapo ndo watapoonesha rangi yao kamili bila kificho.
 
Hoja ni nzuri sana! Tatizo dogo tu ni kwamba wapinzani wetu walio wengi nchini, ni wachumia tumbo tu. Hivyo kususia uchaguzi maana yake unawaambia waishi maisha ya shida na njaa ambayo hawakuyazoea hapo kabla; ni vigeugeu, wanafiki, wabinafsi na pia mamluki wa CCM!

Hawana umoja wa kweli, kiasi cha kuwapa jeuri ccm kufanya vile wanavyotaka. Kiufupi tu watashiriki mwanzo mwisho! Na watakaposhindwa kwa haki au dhuluma, watakuja humu kulialia kwa spidi ya ajabu na wakati walitambua mapema tu kitakachotokea.
 
Wapinzani wengi hawawezi elewa hili sababu nao wanaangalia maslahi.namna ya kupata pesa wakati wa kampeni.ingawa wanajua hawatashinda. Wangewaachia CCM kila kitu. Then ndo ingefahamika kumbe hata CCM pia si moja mle ndani. Lakini pia ndo kila mtu angeonesha rangi halisi. Kwa sasa wanaonekana wana CCM sababu kuna upinzani.
huwa naamini wewe ni mtu makini sana ila hapa
 
Yaani kila nnapowawaza wapinzani na jinsi watakavyokuwa wanafanya kampeni kuomba ridhaa 2020 ni mpaka huruma, yaani wamepigika wamechoka wamechakaa, wako hoii, maskini
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
Mmekosa sera mbadala za kuwashawishi wapiga kura sasa mmebaki ramli chonganishi tu.
Katafuteni kamba mjinyonge magufuli atapeta mpaka 2025.
 
Narudia tena, kuna watu wanafaidika sana wakiendelea kubaki upinzani.

Nnachokubaliana na GuDume , sioni mpinzani akirudi bungeni 2020. Naomba nieleweke, sisemi hawapata kura nyingi kuweza kuwa washindi la hasha, itakua kazi sana kama sio haiwezekani mpinzani kutangazwa mshindi.

Wakizingatia ushauri huu itasaidia kuleta maendeleo kwa wananchi wanaopata shida kwa kuchagua upinzani.
 
Naunga Mkono Hoja! Waache Waangaliwe Pembeni tuone Maendeleo yap. Naamini Maendeleo hayawezi kuletwa Chini ya Utawala wa CCM hata miaka mia 8 Tanzania itazidi kuwa pale pale ama kurudi Nyuma Kabisa.
Na Obvious tumesema mara Nyingi kuwa Nchi hii Itakombolewa na Watanzania wenyewe watakakuwa na Akili ya Uelewa.
 
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
MKUU GUDUME aksante
2020 kama Jiwe atagombea utakuwa mwaka wa "Damu" watanzania watauwawa na kupotezwa kwa ajili ya kutamani MATOKEO yanayolingana na uamuzi wao walofanya .

2020 Mungu asipoingilia kati itakuwa balaa ! jiwe atabaki madarakani kwa gharama ya blood ya watanzania!

Mwaga pombe 2020 Benard Membe" NIGUSE NINUKE"
 
Sijawahi kukupa like ila hapa mkuu kongole

Umezungumza kweli kabisa maana kwa sasa hata maeneo yaliyoshikiriwa na upinzani serikali ya CCM labda kwa kushindwa au kwa makusudi hawapeleki maendeleo kwa ajili ya ubaguzi ili wapinzani waonekane hawana msaada,hata namba one wetu pia anapigia msumari kwa kuwalisha wananchi maneno ya kibaguzi hivyo mwakani wananchi kwahiyari yao au kwa kushinikizwa hawatapigia kura upinzani ili wasinyimwe huduma zao za msingi kwa kuwa kwa sasa imekuwa ni hisani ya mtu mmoja.
Kwanza niseme kabisa huu ushauri leo hii unaweza ukawa ni wa kipuuzi. Kwa sababu kuu kadhaa.

1. Kusema ukweli kama kuna wapinzani wa kweli wanaotegemea kurudi Bungeni mwaka 2020 hawa watakuwa ni zaidi ya wapumbavu.ashakum si matusi. Ifike mahali tuambiane ukweli. Mwaka 2020 utakuwa mwaka mbaya sana kwa wapinzani kweli kweli. Achana na wale vibaraka.

Asilimia kubwa hawatarudi hata list yao ipo na wengine kwa kugundua hili waliamua kuhamia CCM ili waweze pata riziki yao ya kila siku.

Tumeona maeneo ambayo Mh. Ametembelea pasipo unafiki akibagua walio chagua upinzani na waliochagua CCM.amesema kama una torch ukachanganya batteries na gunzi itawaka? Haiwaki.kaongea ukweli.

Kwa point hii tu wapinzani wanapitaje? Umeona maeneo ambayo amekuta wamechagua wapinzani alivyokuwa akiwajibu?lakini yeye si ndo analipa watendaji,wakurugenzi,anachagua wanahusika na uchaguzi?

WITO WANGU.
Mwaka 2020 mwachieni yeye agombee na wabunge wake. Kawaida dhambi ya Ubaguzi kama mtu anayo haitakosekana.atagundua wote ni CCM.na kuna maeneo mengi hatakuwa ametimiza ahadi.atatafuta namna ya kuwabagua.

Itafahamika kuna CCM Mag na CCM Asili. Hapo wapinzani kaeni pembeni muwe mnachochea tu moto.maana atakuja sema sehemu mmemchagua CCM mbunge lakini hafai.

Kawaida ya Ubaguzi upo kama pia. Yaani unaanzia juu kukubwa unashuka chini kudogo.level ya juu iliyopo sasa hivi ni CCM vs Upinzani. Ukiondoa Upinzani itakuwepo CCM yenyewe kwa yenyewe. Na hapo watu watakulana kwa misingi flani flani. So CCM yenyewe haitobaki salama.

Ushauri wangu wa kipuuzi kaeni chini mfikiri namna gani ya kujipanga kisayansi zaidi. Kuna kipindi semeni "sisi yetu macho tu"

"Siku watu wakigundua Adui yao Halisi ni nani Ukombozi utapatikana"
 
GuDume, kwa hakika leo umetoa ushauri usiofaa.

Kususia na Kuzira haijawahi kuwa suluhisho la matatizo hata siku moja. Piga akili na utafute mfano popote walipofanikiwa kujikomboa kwa kumpa mkandamizaji nafasi ya kuzidi kukandamiza zaidi.

Ni swala la kukosa uongozi imara na wa kuaminiwa tu huko upinzani, waTanzania kwa umoja wao wapo tayari kabisa kujiondoa kwenye shida hii.

Chukulia mfano huu mmoja. Dr. Martin Luther King, Jr na wenzake wangekuwa na roho za kususa na kukata tamaa, hali ya weusi kule Marekani hadi sasa ingebaki kuwa watu wa daraja la pili.

Badala ya kususa, wapinzani sasa hivi walitakiwa wawe wanawaeleza wananchi umhimu wa kura zao na kuwahimiza wajitokeze kwa wingi kabisa kupiga kura; hata bila kujali watampigia mpinzani au mtu wa CCM. Huu ndio ujumbe mhimu ambao wapinzani wangeuwekea nguvu sana sasa hivi.

Na baada ya kupiga kura hizo, ni lazima pawepo njia ya kuhakikisha kura zinahesabiwa vizuri na matokeo kutangazwa bila hiana. Hapa ndipo panapohitajika kazi na mipango kuhakikisha hilo linatokea.

Na nadhani wakati huu hata hapa JF tungekuwa tunatafuta njia/mbinu za kuhakikisha kura za wananchi zichukuliwe kuwa ni 'takatifu' zisizoweza kuchezewa na mtu yeyote bila ya kupata matatizo binafsi kwa hao wanaopanga kuzichezea (Wasimamizi wa uchaguzi kila kituo na wenzao) wanachukuliwa kuwa 'liable' moja kwa moja kwa matendo yao hapo hapo kituoni.

Hata huko Marekani bunduki zilikuwepo, lakini watu walipoamua kubadili mwelekeo, hizo bunduki na mbwa hawakufua dafu.

Tatizo letu kubwa nadhani kwa sasa hivi ni kukosa viongozi tu wanaoweza kutuongoza tuyakatae yanayotokea sasa, tena bila ya kumwaga damu ya mTanzania yeyote.
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom