ushauri wa kimawazo jamani

ushauri wa kimawazo jamani

cosmasmpwage

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
30
Reaction score
2
nina mpenzi wa kikeananipenda nami ninampenda, tatizo lililopo ni kwamba yeye ni mwislam, na mm nimkristu, cha zaid ni kwamba nimeishika sana dini na yeye vivyo hivyo, nimejaribu kumshawishi abadili dini lakin ansema kuwa hayupo tayari kabisa, kumpenda nampenda na kumwacha siwez je nifanyaje, naombeni ushauri wenu jaman
 
Kwani dini zenu zinasemaje kuhusu kupendana na wa dini zingine kiongozi? Kama haziruhusu basi anza kufuta usemi kuwa mmeshika sana dini maana laiti mngeshika sana dini na kuzijua na kuzipenda dini zenu msingependana kihivyo kwa kuanzia. Kisha ukishajikubali kuwa hujashika dini kama unavyodhani basi endelea na mipango yako ya kumpenda na kwa kuwa unampenda kubali kubadili dini juu yake (Sababu hujashika dini anyway)
 
Nadhani imani zenu ndizo pekee zitazoweza kutoa muongozo katika hili...
 
Qur-an inasema, wala msiwaowe washirikina mpaka wao wawe waumini,
Na wala msiwaozeshe washirikina mpaka wao wawe waumini,
 
Hii thread peleka MMU utapata ushauri mzuri zaidi
 
ahahhaah mkuu kuna mtu kasema we ni mshirikina ..ahahhahahah hapo juu....ahahha JF raha....Ushauri wangu.....achana nae...hayo ni matatizo unapalilia....yanaweza yasikuumize leo wala kesho ila sioni happiness mbele...ahahah
 
Back
Top Bottom