Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani, mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
pwani maeneo gan. zalisha choroko au mbaazi. input cost yake ni ndogo . ufugaji kama ni enjoy zuri Anza na mbuzi frijen breed Wana tendency ya Kazaa mapacha unaweza kuanza na idadi unayoimudu. then ukiimarika unaongeza na ngo'mbe wa maziwa kadhaa soko la maziwa ni kubwa pia