Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Asante kaka lakini siwezi kuwa bado kwenye system ndio hofu yangu tuuu ila kuomba upya niliishajipangaMaombi yameshagungulia,omba upya chagua vyuo vya serikali,utapata,ila kaanze upya
Ndio maana nikaomba ushauriKwa nini hukuwashirikisha hao wa hapo mwalimu Nyerere?
Nenda kashirikishe uongozi wa hicho chuo ulichopoNdio maana nikaomba ushauri
Mm nahitaji kuaply upyaNenda kashirikishe uongozi wa hicho chuo ulichopo
kama uwezo upo fanya hivyo mkuu..kila la heriMm nahitaji kuaply upya
System hatonikatilia lakini?kama uwezo upo fanya hivyo mkuu..kila la heri
sijajua hapoSystem hatonikatilia lakini?