Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,631
- 2,038
Habari wan jf,kun mdogo wangu kapata division 4 sasa kuna mawazo mawili hapa tunayo ambayo wazo moja ndio linatakiwa kuwa applicable
Mawazo yenyewe ni
1) kumpeleka dogo Veta akasome ufundi stadi hasa tunataka akasome masuala ya ujenzi
2) kumpeleka dogo chuo yaani college hasa tunataka akasome KAM college masuala ya Clinical officer
Je nyiye kama wasomi mnashauri nini juu ya huyu dogo na kutokana na hali ya sasa kwenye nchi yetu kiuchumi dogo nimpeleke akasome wapi?
Ushauri wenu nauhitaji...Asanteni sana