Kama huyo mpenzi wako ameshatumia ARV kwa miaka kadhaa na kwa ufasaha basi hawezi kuambuzika, virus vimeshakuwa "hybernated" dawa za siku hizi ni more advanced.
Kama unampenda waweza endelea naye. Yataka moyo lakini.
Una utani sana we jamaa.Bahada ya kumpa msahada utapata Baraka..
Dah...katika watu wenye bahati duniani wee mmoja wapo. Demu kakwambia ukweli kuwa ana ngoma. Huyu braza bila kuuliza mumowe fastaHabari wadau,
Nahitaji nipate ushauri wa mawazo na wakitaalam pia juu ya hili jambo ambalo linaniumiza kichwa...
Asante kwa ushauri mkuu,ushauri wowote napokea mkuu utanisaidia hata kama utakuwa unapingana na mawazo yanguKwanza tafakari kwa uzito upime je upendo wako kwake ni kwasababu ya urembo wake? Vipi hali ya urembo ukibadilika bado utaendelea kumpenda?..