ushauri wa haraka

ushauri wa haraka

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
Kuna mwalimu nafundisha nae wa kiume anaitwa ( ) tunafundisha shule ya msingi ( ) ipo Tarime , Mara. Alinitongoza nkamkataa, juzi boyfriend angu alipiga simu yeye akapokea , simu ilikua kwa chaji kwa mwalimu mwenzangu, akaanza kujibizana na boyfriend angu akamwambia eti yeye ( ) ndo ananichukua kwa sasa. Alichkua pia namba ya boyfriend angu akawa anampigia simu na anatuma text kwake kwamba mi nam cheat. Sasa hv nipo dar na boyfriend angu ananitumia msg et kwann cpokea simu ake pia katuma text kwa bf angu anamwambia niwashe simu. hivi mtu kama huyu nimfanyanyaje ? naomba ushauri hata wa kisheria . Juzi nilimwambia mwalimu mkuu tukamwekea kikao akamuonya na yeye akasema hatonisumbua sasa naona anaendelea mi nikiwa na bf. ushauri pls
 
Pole dadangu,hayo ndo mapenzi.mi siwezi kushauri sana zaidi ya kukulaumu maana kwa maelezo hayo yawezekana na wewe ulijaribu kujirahisi kwake ndo maana anachukulia hiyo kama advantage kwake coz haiwezekani mtu mwenye akili timamu tena mwalimu akafanya hivyo bila kuwepo sababu fulani mf.either ulishakula vyake vingi then alipotaka nanii ukagoma (for every action there is equal and opposite reaction.
 
Teh teh teh
Walimu tena ndiyo mambo yetu.
Ila hapa km ni kesi imesikilizwa upande mmoja
Kama ni Mwandishi utatakiwa ku balance story
Yaani kama pagumu zaidi kula vitu&jamaa yako
 
Back
Top Bottom