Ushauri wa haraka unajitajika

Mwambie akurudishie halafu umuulize alikuwa na maana gani?
Hii changamoto imeanza jana usiku
Alinitxt akaniambia kama nna kiasi fulani nimsaidie
Nikamjibu poa kukicha ntakuchekia
akanijibu au niazime ntakurudishia.
Nikamjibu poa kama unahisi kuirejesha(Maana hana kazi kwa hiyo suala la kuipata ya kunirudishia najua ni changamoto hata kama tusingekua wapenzi)
Ila alivoleta hoja ya kuirudisha sikupenda wakati nilishamwambia ntamchekia.

So asubuhi hii nimemtumia ndio ukaja ujumbe kwamba niirudishe tu

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…