Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Jibu hoja mkuu achana na hizi mamboUna miaka mingapi mkuu ?
Hapana mambo mengine yanahitaji uwelediSa swali gani hili
Kwa hiyo niirudishe kama alivosema sindio?Chapuuuuu, kama ni voda JIHUDUMIE FASTER, naye siku nyingine atajifunza.
Yeah, ili kuonyesha unajua nini cha kufanya. Na nina uhakika may be kakuomba buku mbili ukamtumia hiyohiyo huenda alijua utatuma twende twende hivi😄, na hilo n dharau kwa hela uliyotuma, kama alikuwa anakupima bc majibu ya hivyo vipimo angebaki nayo mana ukienda hospital kupima maleliya wanakuchukua na vya ayidisi, ila majibu watakupa ya maleliya.Kwa hiyo niirudishe kama alivosema sindio?
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Basi nichukue maamuzi sahihiAfu ukisha jua?
Nimejaribu kuirudisha wananiambia hakuna muamala wa kurudishaYeah, ili kuonyesha unajua nini cha kufanya. Na nina uhakika may be kakuomba buku mbili ukamtumia hiyohiyo huenda alijua utatuma twende twende hivi[emoji1], na hilo n dharau kwa hela uliyotuma, kama alikuwa anakupima bc majibu ya hivyo vipimo angebaki nayo mana ukienda hospital kupima maleliya wanakuchukua na vya ayidisi, ila majibu watakupa ya maleliya.
Binafsi AMEONYESHA DHARAU KWA HELA ULIYOMTUMIA MKUU. jihudumie ulivaizi tulansakusheni tuuuuu[emoji817]
Mwambie yeye akurudishieWakuu
Hivi mpenzi wako wa kike akikuomba pesa ukamtumia then baada ya muda mfupi akakwambia alikua anatania uirudishe tu
Je utachukua uamuzi gani?
Inawezekana lakini pia huenda muda umepita tangu umetuma. Kama n ndani ya 24hrs bc kaitoa, mwambie akutumie yeye uone atasemaje. Anadharau sana huyo dada, yani anatoa hela tena anakutesa eti alikuwa anakujaribu. Mpumbavu kweli. Siku nyingne akiomba usimtumie akikuuliza mjb nilidhani unanijrbNimejaribu kuirudisha wananiambia hakuna muamala wa kurudisha
Je kashaitoa?
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Nimemtumia muda mchache uliopita hata masaa matatu badoInawezekana lakini pia huenda muda umepita tangu umetuma. Kama n ndani ya 24hrs bc kaitoa, mwambie akutumie yeye uone atasemaje. Anadharau sana huyo dada, yani anatoa hela tena anakutesa eti alikuwa anakujaribu. Mpumbavu kweli. Siku nyingne akiomba usimtumie akikuuliza mjb nilidhani unanijrb
Naona kashaitoaMwambie yeye akurudishie