Suleiman hatibu
Member
- Dec 22, 2017
- 54
- 24
EMpty Set.Nina mke lakini nina kidum changu ambacho kinaniliwaza haswa
Jana tulitofautiana kidogo kwa kupishana kiswahili,leo hii kwa hasira zangu nimerudi hom pasipo kumtembelea nyumbani kwake, kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane
Kwa kweli akili yangu haikubali kumuacha maana huduma yake ananipa free na ana heshima na mie
Najua hapa ni eneo ambalo ukikwama unaweza pata uahau
Nina mke lakini nina kidum changu ambacho kinaniliwaza haswa
Jana tulitofautiana kidogo kwa kupishana kiswahili,leo hii kwa hasira zangu nimerudi hom pasipo kumtembelea nyumbani kwake, kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane
Kwa kweli akili yangu haikubali kumuacha maana huduma yake ananipa free na ana heshima na mie
Najua hapa ni eneo ambalo ukikwama unaweza pata uahau
Huko kupewa FREE of charge ndo kunakokufikirisha?Nina mke lakini nina kidum changu ambacho kinaniliwaza haswa
Jana tulitofautiana kidogo kwa kupishana kiswahili,leo hii kwa hasira zangu nimerudi hom pasipo kumtembelea nyumbani kwake, kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane
Kwa kweli akili yangu haikubali kumuacha maana huduma yake ananipa free na ana heshima na mie
Najua hapa ni eneo ambalo ukikwama unaweza pata uahau
Aliyekwambia mapenzi ya mchepuko yana udogo nani? Haswa mchepuka wenye tija.mke wako anakazi ya ziada adi kitu kidogo kama hiki unaomba ushauri.
kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane

EMpty Set.