Huyo ni kaka yako umezaliwa naye tumbo moja au ni ndugu tu au amekuajiri badala ya kumwita boss unamwita kaka?Nishafanya mambo makubwa katika miradi yake nishamsaidia katika biashara zake hata kama ni maneno ya watu mimi ni binadamu kukosea katika maisha kupo
mkuu huyo hata hutakiwa kumwita kaka yako. Angekua kaka yako kweli badala ya kuchukua shamba lako angekuongezea hekari nyingine hata 4 sababu angeona sasa mdogo wangu kaiva wacha nimsaidie...... Yani hapa tu ndio wahindi huwa wanawapiga hap waafrica... mwafrica akishakua na pesa au madaraka anataka aabudiwe yeye tu
Mtoto wa mama yangu mkubwa
Nimehisi kulengwa lengwa machozi.Umeongea neno moja limenifariji sana moyo wangu
Nashukuru kwa maombi ya penye nia pana njiaNimehisi kulengwa lengwa machozi.
Pamoja na yeye kuona umekosa, lakini hakupaswa kukunyang'anya hiyo ekari 1. Yaani alistahili kukupongeza kwa kuonyesha nia ya kujitegemea; maana utaondokana na utegemezi. Lakini kinyume chake ni kukuwakia, kukununia na kukufurusha nyumbani kwake. Huyo anapenda sana kuabudiwa. Anatamani uendelee kuwa mtumishi wake na wala siyo ndugu yake.
Endeleza juhudi za suluhu naye. Kila la kheri. Pole sana.
Nimepoteza miezi tisa bila malipo yoyote nafanya kazi ngumu sipewi kitu ila mm nilifanya kwa moyo nikijua na mimi ninacho changuPamoja na yote, Kukosea kupo, ila kaka yako inatakiwa umuombe msamaha, yaishe na shamba lake muachie, Nenda mahali pengine kama ipo ipo tu ndugu, Wala usiipe akili yako wasiwasi ndio maisha yalivyo.. hata huyo kaka yako kuna alishawai kukosea hajafika tu alipo bila kukosea, Cha muhim jifunza kutokana na makosa yaliyojitokeza na muda ulipoteza huko shambani, Next time muda tumia kufanya shughul zako hata kama ni elf moja ila ni ya kwako, unakua na uamuzi wa kuipangia hio elf moja kitu cha kufanya nayo, tofauti na ya mtu
Viazi vitamu au mbatata( mviringo)?Viazi
Viazi vitamu au mbatata( mviringo)?
Sasa kwa kumficha kwake kapata faida gani? Na Vp? kama angemuomba kaka yake na kuruhusiwa leo yange mkuta yaliyo mkutaSasa ulitaka amwambie ili iwejee??? Kwani huyu jamaa kaka ake kamwambia mali zote alizonazo!??
Huwa mnalima kwa wingi?Viaz vya chips