Tafuta kokao cha ndugu aache dhuluma na tamaaTatizo shamba kasha lichukua ata mm ndo ulikuwa mpango wangu
Kwa kwel umeongea kitu cha maana nitatumia ushauri wako asante sanaKumficha sio kosa sana.
Je una sababu zilizopelekea kumficha?.
Mfano, Labda ulitaka ujaribu kitu chako mwenyewe.
Labda ulihisi ukimwambia hatakubali na ataona unamuibia.
Labda ulihisi ukimwambia ataona hutumii muda mwing zaid kuangalia mashambq yake na utakuwa umejidhatiti kuangalia shamba lako.
Labda labda nadhan ni nyingi. Hizo haswaaa ndio zitumie kuombea msamaha.
Sio unaomba msahama kaka nisamehe , alaf unakaa kimya. Hakuna mtu angekuelewa
Siwezi kabisa kwa saiz nimejifunza kitu tatizo tamaa za ujanani zinatutesaMbaka hapo una shida mahala
Wewe unawezaje kukaa na kaka yako, Tena kwake, na malighafi zake, alafu ukafanya Jambo kubwa kama kulima heka 1, since kuandaa shamba,kupalilia,mbegu, n.k
Bila yeye kumpa taarifa.[emoji44]
Kwa haraka haraka we ni msiri na ni mbinafsi ukiendekeza tabia iyo utakuwa mchawi uzeeni.