Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Namaanisha kama nikilist nikapata qualification nataman sana nisome mkuuMkuu kwa matokeo hayo unataka ukasome advance!!! Siungi mkono
Unamaanisha nn bossKama kulist sawa ila kama Kureset achana na hilo wazo we ni mzee baba
Unamaanisha kureseatNamaanisha kama nikilist nikapata qualification nataman sana nisome mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulist ndio nn mkuu?? tuanzie hapoMm ni kijana wa miaka 25 nilihitimu shule ya secondary 2012 na kupata matokeo ya div iv 28 yaan kisw D.civ D.geo D. Phy D chem D hist D b/math f Biso D. Eng D na baada yakumaliza tu nilisoma corse ya umeme ya Domestric electrical installation (short corse) na baada yakumaliza nilipata kazi serikalin tofaut na nilichokisomea baada yakupata kazi serikalin mwaka juzi niliamua kulisti yaan private canditate masomo matano somo moja tu nilipata B yaan somo la kiswali nilipata B Lakin masomo mengne nilirudia matokeo ya awali....!
Sasa mwaka huu ninakuwa na wazo la kulist tena masomo manne nione kama nitapata credit asa juzi wakat nikiwa na mdau wangu mmoja akanipa ushaur kwamba niachanane nakulist nikasome phamancy....na pahamancy haipo moyon kabsa na huwa nataman sana nisome form 5$6....
Nimekuja kwenu kwa wanajukwaa wenzangu pengne ninaweza kupata njia nyingne ambayo inaweza kuwa the best kuliko hii ninayoitumia.!!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kumaanisha kurudia mtihan kama private candidate boss yaan PCKulist ndio nn mkuu?? tuanzie hapo
KULIST = KURISITI = KU RE-SEATMm ni kijana wa miaka 25 nilihitimu shule ya secondary 2012 na kupata matokeo ya div iv 28 yaan kisw D.civ D.geo D. Phy D chem D hist D b/math f Biso D. Eng D na baada yakumaliza tu nilisoma corse ya umeme ya Domestric electrical installation (short corse) na baada yakumaliza nilipata kazi serikalin tofaut na nilichokisomea baada yakupata kazi serikalin mwaka juzi niliamua kulisti yaan private canditate masomo matano somo moja tu nilipata B yaan somo la kiswali nilipata B Lakin masomo mengne nilirudia matokeo ya awali....!
Sasa mwaka huu ninakuwa na wazo la kulist tena masomo manne nione kama nitapata credit asa juzi wakat nikiwa na mdau wangu mmoja akanipa ushaur kwamba niachanane nakulist nikasome phamancy....na pahamancy haipo moyon kabsa na huwa nataman sana nisome form 5$6....
Nimekuja kwenu kwa wanajukwaa wenzangu pengne ninaweza kupata njia nyingne ambayo inaweza kuwa the best kuliko hii ninayoitumia.!!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante boss pesa siyo tatzo ila ninachotaka mm nikukuza elimu maana kama kazi ninayo tayar! SerikalinMi nimepita kote uko unakotaka kwenda tena kwa mtiririko bila kuungaunga mpka univsty na nipo apa sina mishe. Kifupi naidai elimu mpunga mrefu na muda wangu kibao yan. Cha kukushaur acha ujinga tafuta hela. Tumia akili kusak pesa na usitafute elim ije ikupe pesa. Zama zimebadilika si kila homa ni maleria. Huwez kuwa hujanielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa wazo lako bos wangu!KULIST = KURISITI = KU RE-SEAT
Uwezo wako kimasomo ni mdogo hasa sayansi.... usisome kozi yoyote ya sayansi hasa hizo za afya.
Pia usirisiti, huwezi kufaulu kwa namna unavyoeleza zaidi utapoteza muda.
OPTION NZURI kwako ni kutafuta chuo uanze certificate ya kitu ambacho utakiweza..... Ukimaliza uende diploma (diploma ni sawa na form six sema wewe utakua umesoma specific course).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kulist sawa ila ku reset ...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi nahis atakua hajkuelewa badoKama kulist sawa ila kama Kureset achana na hilo wazo we ni mzee baba
Na wewe pia umenoa. Ni kuresit sio resetKama kulist sawa ila kama Kureset achana na hilo wazo we ni mzee baba
Pole nina kazi tena yenye mpung mrefu tu namaanisha nina check no kabsa kama unaangalia maelezo endelea kuangalia maelezo mm niliomba kama ushaur tuKwenye maelezo yako nimeuona uzembe wa Phd, serikalini ulipata kazi au kibarua [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nenda kaanze certificate then diploma then umalizie na degree ya icho unachofanyia kazi....usihangaike na kurudia mtihani si kazi rahisi kurudia mtihan hasa wa form 4 fata ushauri huu sababu tayari una kaziPole nina kazi tena yenye mpung mrefu tu namaanisha nina check no kabsa kama unaangalia maelezo endelea kuangalia maelezo mm niliomba kama ushaur tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yann wakt akili unayo? Saka pesaAsante boss pesa siyo tatzo ila ninachotaka mm nikukuza elimu maana kama kazi ninayo tayar! Serikalin
Sent using Jamii Forums mobile app