Ushauri wa haraka; naweza kurudia mtiani wa form six hasa wa hesabu?

naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
647
800
Wakati Niko advance nilichukua masomi ya EGM,hesabu zilikua tatizo sana kwangu hadi kunipelekea kupata F ya hesabu masomo mengine nilipata A yani (economic A,Geography A)

Katika pilika za maisha nikawa nikipata muda nikawa najaribu kupitia vitabu mbalimbali vya hesabu kutoka form one,form six hadi vyuo vikuu

Baada ya miaka saba nikajikuta nazijua hesabu kiasi kwamba hata baadhi ya walimu nawasaidia punde wanapokwama jinsi ya kusolve baadhi ya maswali hasa ya advanved mathematics na vyuo,ninawafundisha wana vyuo wengi sana,napata hela nyingi sana

Tatizo linakuja kale ka F cha hesabu nilichokipata advance je naweza kurudia mtiani huo maana kila nikiona cheti changu cha A level kinakosesha amani

Kitu kilichonifanya niandike huzi huu ni kutaka tu kupata ushauri kua sasa ivi nna degree je naweza kurudia mtiani wa form six hasa wa hesabu maana naamini kabisa nnauwezo wa kujibu maswali yote kwa usahihi kabisa ili nifute lile kosa,

Nataka jamii initambue kua na Mimi ni mmoja wa wataalam wa masuala ya hisabati Tanzania

Naliwe wa lumumba
 
F haifutiki mzee hako ni kako hakakwepeki. Ukirudia utabebanisha vyeti tu kila unapoenda lazima kihusike.

Labda urudie tu kwa kuwa-prove NECTA kwamba wewe unajua au labda kama utakuja badilisha course.
 
Wakati Niko advance nilichukua masomi ya EGM,hesabu zilikua tatizo sana kwangu hadi kunipelekea kupata F ya hesabu masomo mengine nilipata A yani (economic A,Geography A)

Katika pilika za maisha nikawa nikipata muda nikawa najaribu kupitia vitabu mbalimbali vya hesabu kutoka form one,form six hadi vyuo vikuu

Baada ya miaka saba nikajikuta nazijua hesabu kiasi kwamba hata baadhi ya walimu nawasaidia punde wanapokwama jinsi ya kusolve baadhi ya maswali hasa ya advanved mathematics na vyuo,ninawafundisha wana vyuo wengi sana,napata hela nyingi sana

Tatizo linakuja kale ka F cha hesabu nilichokipata advance je naweza kurudia mtiani huo maana kila nikiona cheti changu cha A level kinakosesha amani

Kitu kilichonifanya niandike huzi huu ni kutaka tu kupata ushauri kua sasa ivi nna degree je naweza kurudia mtiani wa form six hasa wa hesabu maana naamini kabisa nnauwezo wa kujibu maswali yote kwa usahihi kabisa ili nifute lile kosa,

Nataka jamii initambue kua na Mimi ni mmoja wa wataalam wa masuala ya hisabati Tanzania

Naliwe wa lumumba
kwa avatar yako hata hizo A mbili c dhani kama unazo,wengi wahuko ni fafafafafa tupu
 
Hata magu aliunga unga kama wewe... We tulia utabebwa kama bashite ma li F lako.
 
Nilipata D ya Physics advance nikahisi nilionewa mana nilikua najiona fundi ukiongezea nilipata tempo za kufundsha na madogo wakawa wananikubali kinyama, basi nika reseat Nikala bonge ya F(naamin ile ilikua sio F tu bali F negative, kwaio kama ni ku reseat ilipaswa nireseat mara mbili tena, mara ya kwanza kuondoa negative ya necta waliokua wananidai "equalize" na ya pili kutafta Marks zangu), nanilishatangaza kwa wana mana nilijua nitapiga A, niliishia kuwala sound zisizo na kichwa wala miguu. Jipange sana kaka.
 
Wakati Niko advance nilichukua masomi ya EGM,hesabu zilikua tatizo sana kwangu hadi kunipelekea kupata F ya hesabu masomo mengine nilipata A yani (economic A,Geography A)

Katika pilika za maisha nikawa nikipata muda nikawa najaribu kupitia vitabu mbalimbali vya hesabu kutoka form one,form six hadi vyuo vikuu

Baada ya miaka saba nikajikuta nazijua hesabu kiasi kwamba hata baadhi ya walimu nawasaidia punde wanapokwama jinsi ya kusolve baadhi ya maswali hasa ya advanved mathematics na vyuo,ninawafundisha wana vyuo wengi sana,napata hela nyingi sana

Tatizo linakuja kale ka F cha hesabu nilichokipata advance je naweza kurudia mtiani huo maana kila nikiona cheti changu cha A level kinakosesha amani

Kitu kilichonifanya niandike huzi huu ni kutaka tu kupata ushauri kua sasa ivi nna degree je naweza kurudia mtiani wa form six hasa wa hesabu maana naamini kabisa nnauwezo wa kujibu maswali yote kwa usahihi kabisa ili nifute lile kosa,

Nataka jamii initambue kua na Mimi ni mmoja wa wataalam wa masuala ya hisabati Tanzania

Naliwe wa lumumba
Ungo upate A geography na A econominic kisha Math F hahahah ww una zote F
 
A ya geography nakupeleka TISS mkuu.......!!!!!!

Acha dharau zako bhna hvi unajua mtyu akikudanganya amekudharau ndo ww ss mkuu unaleta dharau
 
Kwa aliyepata Economics A na Geography A possibly Hesabu usingekosa hata C au D,yawezekana hakuna ukweli hapo?
 
Back
Top Bottom