Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Huu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.

Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.
 

Hahahahahaha dah, nimecheka sana.
 
Tokea ubadili ID yako kutoka Pasco na kuwa pascal mayalla, nna wasi wasi na akili yako! Maana kiwango chako cha uchambuzi kinazidi kushuka kila siku, na tunavyoendelea naona kila dalili za kuingia kwenye lumumba buku saba!
 
Mselewa,
Nilidhani Chadema haikuhitaji kushauriwa kwenye jambo kama hili.
Nilitegemea ifanye automatically.
Kama hadi wapigiwe kelele jukwaani hali yao itakuwa mbaya kuliko ya wanaotuhumiwa rambirambi.
 

    1. Kada wa CHADEMA JF-Expert Member
      [HASHTAG]#234[/HASHTAG]
      51 minutes ago

      Joined: Feb 27, 2016
      Messages: 287
      Likes Received: 582
      Trophy Points: 180
    1. Kuna leadings ambazo zinatia shaka juu ya kifo cha mzee wetu Ndesamburo.

    2. Aligombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini huku akikabiliwa na shutuma kuwa anakipasua chama.
    3. Mbunge wa Moshi Mjini Jaffar Michael alikuwa na ugomvi mkubwa na Mzee Ndesamburo na inashangaza alikuwa na mahaba naye kuanzia wiki moja iliyopita.
    4. Safari ya Kalist Lazaro kwenda kuchukua Fedha za Rambirambi kwa Mzee Ndesamburo imekuwa na wingu nene kwani kabla hajaenda kwa mzee Ndesamburo, alipitia nyumbani kwa Jaffar Michael haijajulikana alienda kufanya nini.
    5. Kalist Lazaro alipoenda kwa Mzee Ndesamburo alikuwa na hofu kubwa inayotiliwa shaka.
    6. Akina Lazaro walimkuta Mzee Ndesamburo anakunywa chai. Alipoingia chumbani kuchukua Check ili aandike kiasi cha fedha kuna uwezekano kuna something iliwekwa kwenye chai na ndio imesababisha umauti wake. Lazaro anajua.
    7. Inadaiwa kuwa Mzee Ndesamburo alikusudia kutoa hundi ya milioni 10 kwa jina la Kalist Lazaro lakini aliandika milioni 100. Alipogundua kuwa amekosea wakati tayari amemkabidhi Lazaro, alimtaka airejeshe ili arekebishe, Kalist akajifanya anaenda kwenye gari kuchukua simu. Akaondoka na cheki hiyo na hakurudi tena. Huku nyuma mzee Ndesamburo hali ilibadilika na ndipo alipokimbizwa hospitali.
    8. Baada ya kifo cha Mzee Ndesamburo, akina Malisa na Ali Bananga wanatumika kusambaza propaganda kuwa Mzee Ndesamburo alikuwa hajaandika Cheque. Uongo mtupu.
    9. Kuna taarifa kuwa fedha hizo Kalist Lazaro alienda kuzitoa kwenye Benki ya CRDB Moshi Mjini kabla ya taarifa ya kifo cha Mzee Ndesamburo kusambaa.
    10. Ndugu wa Mzee Ndesamburo msiharakishe kumzika mzee wenu mpaka uchunguzi juu ya kifo chake ufanyike. Kwani kuna utata umegubikwa hasa kuhusu
 
Tokea ubadili ID yako kutoka Pasco na kuwa pascal mayalla, nna wasi wasi na akili yako! Maana kiwango chako cha uchambuzi kinazidi kushuka kila siku, na tunavyoendelea naona kila dalili za kuingia kwenye lumumba buku saba!
Tayari yupo kwenye payroll ya lumumba
 
Umeandika vizuri ila kuna tuujinga ujinga humo kwenye andiko lako.
 
Mleta mada naona Hujambo kwa hotuba ndefu wachaga huwa hawapendi hotuba ndefu mtu akifariki mtu akitaka kuongea kuhusu marehemu hawataki Story wanachouliza wewe uliyeguswa unachangia shilingi ngapi sio maneno mangapi? Mleta mada msiba wa ndesamburo unachangia shilingi ngapi ili huyo mzee azikwe kwa heshima zote ulizopendekeza? Msiba ni gharama wewe mselewa unachangia shilingi ngapi? Na mayala unachangia shilingi ngapi?
 
Habari za uongo utazijua tu. Zina kaformula. Kwanini points kaweka 10? Kwanini sio 11? Kwanini sio 7 au 8 au 9? Huyo mtu ni muongo na hajui kudanganya
 
Mselewa,
Nilidhani Chadema haikuhitaji kushauriwa kwenye jambo kama hili.
Nilitegemea ifanye automatically.
Kama hadi wapigiwe kelele jukwaani hali yao itakuwa mbaya kuliko ya wanaotuhumiwa rambirambi.
Hotuba haziziki mtu mselewa na akina mayala na wengineo mnaojitia mna uchungu sana na kifo cha ndesamburo na mnakuja na mapendekezo kibao mnachangia shilingi ngapi Ili ndesamburo azikwe kwa heshima zote mnazopendekeza?
 
Huu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.

Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.


Mshaanza figisu ili mje mpige rambi rambi kama kawaida yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…