Yaa hii inaweza kusaidia ila vipi kama bado ni denti anasomeshwa na huyo dadaake na wazazi wanajua yuko kwake? Halafu kama mshkaji hana uwezo wa kumgharamia hayo?
ok! Sawa lkn nipe adhabu ya kumfanya huyu mjing.a anayetaka kula vyangu
bint hatak kuliwa na huyo bwe.ge that why kaniambia
Boss msome majigo tatizo ni yeye hana PESA hawezi kiishi na binti...atamlisha nni....
Kwa hiyo hapo bint atatumika kesho ili aendelea kukaa kwa Dada
Kama ana ujasir ajitoe mhanga. Akaonane na Dada amweleze yy ni mchumba wa bint kama ni mbwai na iwe mbwai

Amuhamishe ampeleke wapi Majigo mwenyewe anakaa kwa kaka ake!!!Mbona easy hii? Si mhamishe sasa au wewe Hutaki kumtunza?
Komaa tu kumuita ----- wakati kakuzidi kete ha ha haok! Sawa lkn nipe adhabu ya kumfanya huyu mjing.a anayetaka kula vyangu
bint hatak kuliwa na huyo bwe.ge that why kaniambia
Hahaha kama noma na iwe noma sio,na itakuwa noma kweli maana huyo dada hatamwelewa kuhusu mahari maana bado dogo anasoma na jamaa hajajipanga bado,mh pagumu aicee...
Kudadadadadaddeki...loading error....
Mnajua wanaume mnakuwa soo fun sometimes majigo ana maneno bila vitendo pili anaishi kwa kaka yake .
Achukue one best option either kumfanyia surprise Dada yake na bint au bint arud kijijin/awasiliane na wazazi juu ya sakata LA Dada ake kumuuza

tatizo inaelekea ni wewe unakula vitu bure!mjini silaha ni edha tu ndugu ukitaka kumfunda mdomo dada mtu nenda kawamwagie mpunga wa kutosha utaona hali itakuwa shwari kbs.
dah! Kwa hiyo wadau mnanishauri nimchukue bint?......hii ngumu kwa sasa
wenye ushauri mwingine jaman plz