Ushauri wa fasta fasta

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Habari zenu waja JF.

Naombeni ushauri wenu wa haraka haraka.

Nilikuwa na camera ya mpenzi wangu, of course nilikuwa natumia kupiga picha za harusi ya my sis. Sasa ikatokea ile camera card ina virus na ikawa inagoma kufunguka. Nikawatafta watu wenye hayo mautundu waka recover picha zote. Few minutes ago nikawa nacheki picha ndo nikagundua kuna video clips pia. Kucheki nimekuta kuna clips ambazo amempiga wanamke akiwa uchi, na hata sauti ni yakwake na pia chumba walichopo ni chake huyo mpenzi wangu. Ebu fasta fasta nishaurini nifanyeje?

Hii kitu bado mbichi kabisaa!
NOTE:Tulikuwa tumeachana toka mwaka jana mwanzoni, but kifupi we were in the process kurudiana.
 
kumbe mlikuwa mmeachana so sio big deal,we ifute isije kuwa ishu ikamchafua jamaa.afujifanye kama hujui akikuuliza ndo mchane mazima na mbwage pwaaaaaaa ka gunia maana itakuwa amekusudia,afu hawa dada zetu hawaelimiki kila siku tunaona jinsi wanavyo umbuliwa na kuaibishwa kuhusu hizi mambo...
 
hayo ndo matokeo ya kurudiana rudiana na wapenzi mliowaacha.......

Habari zenu waja JF.

Naombeni ushauri wenu wa haraka haraka.

Nilikuwa na camera ya mpenzi wangu, of course nilikuwa natumia kupiga picha za harusi ya my sis. Sasa ikatokea ile camera card ina virus na ikawa inagoma kufunguka. Nikawatafta watu wenye hayo mautundu waka recover picha zote. Few minutes ago nikawa nacheki picha ndo nikagundua kuna video clips pia. Kucheki nimekuta kuna clips ambazo amempiga wanamke akiwa uchi, na hata sauti ni yakwake na pia chumba walichopo ni chake huyo mpenzi wangu. Ebu fasta fasta nishaurini nifanyeje?

Hii kitu bado mbichi kabisaa!
NOTE:Tulikuwa tumeachana toka mwaka jana mwanzoni, but kifupi we were in the process kurudiana
.
 
Age ni 27

fanya mpango uolewe karibuni utakuwa nje kabisa ya age ya hata kupata mchumba au huna mpango huo?
27?? bado hujawa serious kwenye mahusiano....???

nakuhurumia dadaangu,pole anyway.....
Jamaa ako ana mpenzi tayari,but take my words....unazeeka sasa!!!!
 
huyo si wakurudiana naye atakupa matatizo katika maisha ya baadae, vuta subira utapata mwingine wa ukweli. matapishi hayarudishi mdomoni - ushauri wangu
 
huyo si wakurudiana naye atakupa matatizo katika maisha ya baadae, vuta subira utapata mwingine wa ukweli. matapishi hayarudishi mdomoni - ushauri wangu

Namshukuru Mungu kwani kwa mara nyingine kanionesha his true colours!! Im done now!
 
fanya mpango uolewe karibuni utakuwa nje kabisa ya age ya hata kupata mchumba au huna mpango huo?
27?? bado hujawa serious kwenye mahusiano....???

nakuhurumia dadaangu,pole anyway.....
Jamaa ako ana mpenzi tayari,but take my words....unazeeka sasa!!!!

Nilishakura serious na mahusiano zaidi ya maelezo, and now nadhani inatosha.
 
lakin kwa kipindi hicho cha mwaka mzima ulikuwa unategemea nn? kwamba anakusubiri?

kaenda kwingine kagundua ndo choo cha stendi kaamua kurudi choo cha kike kinaafadhali.
 
lakin kwa kipindi hicho cha mwaka mzima ulikuwa unategemea nn? kwamba anakusubiri?

kaenda kwingine kagundua ndo choo cha stendi kaamua kurudi choo cha kike kinaafadhali.

Mh, makubwa!
 
kama mliachana, asingeweza kuacha kuwa free kufanya vyovyote apendavyo. Angalia hizo clips ni lini, kama ni za kabla hamjarudiana then ipotezee, anza kuchunga mzigo wako sasa. Ila kama ni ya hivi karibunu mkiwa tayari mmesharudiana, waweza kuwa na maongezi na kupata ufafanuzi; reaction yake katika ufafanuzi wake ndio utakupa jibu kama uendelee nae au uachane nae
 
Back
Top Bottom