FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,149
- 1,470
Mwambie atulie huyo demu ni mpigaji .
Mabinti kuweni na moyo wa hurumaBinti kasusa..yupo kimaslah
Apige chini hiyo chombo,atapata wengine wanaoelewa hali ya sasa,yaani yeye akiomba lazima uwe na hela ya kumsaidia,maana siku hazilingani ati
Sasa na wewe elf 30 tu inakushinda...
Mkuu kwa jinsi inavyokuuma huyo mtu utakuwa ni wewe tu. Hakuna cha ndugu yako wala nini. Ushauri wangu kwako ni huu "mtafute umpe hiyo elfu 30,000 ikiwezekana mpe hata zaidi ya hiyo. Mapenzi ya mwanzomwanzo bila ulimbo wa pesa hayaendi. Ukishakula mara mbili tatu hizo habari za pesa zitapungua sana. Kwa sasa kubali kuumia kwa faida ya baadae"Kinachoniuma n ktendo cha mimi kukopwa.. Yani mrembo anasababisha presha kwa tusiohusika kabisa..
ashukuru Mungu hakuwa na hela siku hiyo kumemsaidia mengine
Mkuu kwa jinsi inavyokuuma huyo mtu utakuwa ni wewe tu. Hakuna cha mshikaji wako wala nini. Ushauri wangu kwako ni huu "mtafute umpe hiyo elfu 30,000 ikiwezekana mpe hata zaidi ya hiyo. Mapenzi ya mwanzomwanzo bila ulimbo wa pesa hayaendi. Ukishakula mara mbili tatu hizo habari za pesa zitapungua sana. Kwa sasa kubali kuumia kwa faida ya baadae"
Demiss nikweli mpigaji et? Maana hata me nimepigwa kibomu chahivyohivyo wakati ndio kwanza tuna wiki mbili zamahusianoMwambie atulie huyo demu ni mpigaji .
Samahani mkuu huyo binti hapo ni weweBinti kasusa..yupo kimaslah
Ndio mkuu.Samahani mkuu huyo binti hapo ni wewe