Ushauri wa busara

Pole mkuu, Ehee Mungu niepushe na Haya majanga ya Wanawake
 
Watu wa aina yako hata wakishauliwa hawabadiriki, unafanya maamuzi kwa kutumia moyo na sio akil umeshapenda ww ! Mpenda boga ........ Oa tu mshenga si yupo.
 
Mimi sikuwa na shida na Bikra yake shida suala la uongo wake hapo sasa ndio kigugumizi mana tuliwahi kufarakana mwanzoni kisha suala la uongo wake hapo na hili limeongezea ndio kasheshe
Ila mkuu huyo hakufai ni muongo Square root,
Hakiyanani wanawake ni waongo Mswalie Mtume..
Tena huu uongo wakusingizia etty Papuchi zao hazijaganduliwa.....!!!
 
Mkuu pole sana kwa kua mtumwa mda mrefu. Kwa kunyimwa papuchi. Wakati wengine walikua wanaitumia mpaka mtoto akawa mzoefu, lakini pia nikulaumu kwa kuendeshwa na mwanamke pasipo we mwenyewe kujijua ..mda wote huo ulivyokua unamvumilia,ulikua mtumwa kwake. ... Ushauri wangu..angalia moyo wako unasemaje,... Ila ntaendelea kukulaumu kwa kuacha game katikati
 
wee mwanamke wa kipnd hiki anakuambia bikra unakubali, baadhi ya watu wanatumia vazi la din kuonekana wasafi kumbe Ni nyoka. Unabahati ungeuziwa mbuz kwenye gunia kwa vile alikudanganya huyo Ni wakupiga chini angekuambia tu mapema kua ashawahi kupigika uamuae mwenyewe
 
Mkuu niliacha katikati mzuka hamna
 
Sawasawa chief
 
Mkuu jinsi alivyokua ana behave ungeamini kabisa
 
Asante sanaa kwa ushauri
 
Hahaa....SI mchezo eti huko chini
 
Mkuu sio mtumwa...ni upofu tuu wa mapenzi
 
Mkuu nikuoe pole kwa mkasa huo.wanawake ni werevu sana na ndio maana vitabu vya Mungu vinasema tuishi nao kwa akili.Kosa lako lilikuwa ku ignore dalili za uongo ulizong'amua hapo mwanzo anachat na watu anakuficha ukaacha huku anasema bikra kwa maneno basi wewe unaamini bila kuthibitisha.
Kila binti ukimgundua hvo atasema hoo.nilifanya mara moja tu ndio uongo wao huo.Kwa dhama hzi mkuu ukiambiwa bikra hakikisha kwa kupiga mechi au la ungempeleka akakaguliwe hosp ungepata jibu mapema sana.Wanaume kupenda kutumia Moyo n kosa kubwa mno tumia akili.
Kwa sasa hapo angalia kama madhaifu yake utaweza yavumilia huko ndoani au la vinginevo usipochukua uamuzi wa busara unaweza jitia kitanzi mapema.
Pole kwa hilo and mchumba hasomeshwi aisee.
 
wanatengeneza mwana, anakupenda mvumilie
 
Kweli mkuu Dalili niliacha kwa kuwa watu siku hizi wapo kidijitali ila kumbe ndio hamna kitu aisee..kwa tabia zingine aisee nisikufuru yupo njema sema hapa uongo ndio shida mana nawaza huko mbele anaweza kuja kupewa mimba pembeni
 
Basi mkuu piga moyo konde oa huyo ila mmpe tahadhari asiyarudie matope aliyokuwa anapakaa huko nyuma.zidisha uchunguzi wa mawasiliano yake
 
Basi mkuu piga moyo konde oa huyo ila mmpe tahadhari asiyarudie matope aliyokuwa anapakaa huko nyuma.zidisha uchunguzi wa mawasiliano yake
Hofu yangu mpaka sasa kwamba leo nimejaribu kumuuliza kuwa nini kilisababisha a cheat majibu yake hayana Uzito ndio hapo sasa
 
Alifanya vema tu,kaona kuna mwelekeo ndo akaona akupe.
Hajakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…