mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
hiyo ya 4 umetia chumvi live
Hiyo namba ya mwisho.Hi wanajf, mie ni kati ya waajiri ambaye 2 weeks ago hivi nilitangaza kazi zoom, na ninavyojua pia humu zinakuwa posted too.yaani nimeamua tu kuwasaidia wadogo zangu au watz wenzangu kuhusu suala la kuomba kazi, yaani nimeshangaa sana na yafuatayo kwa waombaji hao ambapo nilipokea 500 applicants,
1. Yaani mtu katika kale kabox kakuandika email haandiki kitu, ndo kwanza anaatach cv, certificates etc bila hata ya salutation/hiyo ni mbaya kwasababau inaonyesha uko poor saana kwenye communication, pia mwingine akiandika hata huelewi au mwingine anaandika cv attached tu, mwingine anaandika kiswahili wakat tangazo lilikuwa la kiingereza, mwingine unaweza hadi kughafirika ukisoma anakuwa kama mtoto wa mtaani kwa anavyoandika eti hi guys etc yaani siwezi kumaliza kuviandika vyote hapa.
2. Mwingine anafoward emails...yaani chukulia mfano jana yake aliapply NBC leo anaapply NMB anafoward email ile ile ya NBC, sasa unashangaa hii barua ni ya huku ama vp,
3. Mwingine anaomba kazi isiyo mhusu mfano umetangaza kazi ya uhasibu, yeye amesomea community development anaiomba hiyo kazi ya uhasibu jamani hapo inakuwaje?? Mwingine kazi inataka ujue program fulani ya computer ambayo ndo unakuwa unaitumia katika kazi/yaani ni must na katika tangazo imestate hivyo, lakini yeye haijui kabisa hiyo program na hiyo program hadi uimaste inaweza kuchukua miezi 6, sasa jamani hata kama unamchukua utasubiri asome kwanza ndo aanze hiyo kazi???au itabidi utafute msaidizi wake??
4.Mwingine anaattach cheti cha kifo cha mzazi! jamani niliogopa sana mhh
ni mengi ila ni hayo tu kwasasa, ngoja nifanye kazi,
rgds
inshaalah,point taken
Sio chumvi kaka. Huenda cheti cha kifo cha mzazi ambacho ni scanned na vyeti vingine vya shule viko ktk folder moja kwenye flsh disk, sasa katika haraka haraka za ku attach unakuta mwombaji ameattach cheti sicho. Huwa inatokea sana, usishangae. Tulio kazini muda mrefu tunalifahamu hilo.
Bora umesema, kwani hata jinsi ya kupangilia CV watu wengi hawajui...ni vizuri kujirekebisha kwani siku moja nilikuwa na Mkurugenzi CV zilkuwa nyingi sana, anachambua aliangalia sana cover letter na CV baasi,
kwa hiyo kuna watu wengi kama siyo wengi wetu KUNA MAMBO TUNAJITAHIDI KUYAFAHAMU SANA LAKINI HAYANA MSAADA KATIKA MAISHA YETU, Kwa mfano haya yafuatayo:
1.Wewe ni mwanafunzi, mfanyakazi n.k umeamua kuingia gharama ya kununua simu ya bei ya juu ili uweze kujiunga na facebook, twitter n.k.....na kuchati kila siku, je huoni gharama isiyo ya lazima? unapoteza muda, pesa, lakini hakuna kipya kinachoweza kubadili maisha yako,
2.lakini vipi kama ungeweza kutumia simu hiyo kuangalia vitu vya msingi, kwa mfano how to prepare reports, CV..n.k
3.Vipi ukitumia Simu kwa ajili ya Deal za kukuongezea kipato kwa mfano unaweka vocha unauliza soko la bidhaa fulani eneo lingine? kuliko kutumia headphone masaa yoote eti wewe unamsikiliza mwanamziki fulani?
4.Vipi ungetumia muda huu kama mwanafunzi ukasoma kuliko kuchati ukiwa darasani wakati lecture/mwalimu anafundisha? ulishajiuliza ni Future itakuwaje?
CHEZEA UJANA FAINALI UZEENI.........
TUWE NA DESTURI ZA KUJIFUNZA VITU VYA MUHIMU, TUSIENDEKEZE STAREHE SANA TAIFA LITABAKI NYUMA
Thanks for constructive angalizo mdau mwajiri. Tutazingatia wakati tunaendelea kuapply. Mi binafsi naomba nijuze kama waweza nipatia ajira nimesoma Tax Administration hapa IFM
Hii story inavutia japo ipo kimbea ila inafundishajeeeeeee. Mi mi niliwahi kutuma application siku moja bila hata kuedit
title ya kazi mf Ref. ................................ bila kubadili nikatuma hivyo hivyo baadae nikawa naperuzz ile appl nikakuta ni commed japo nilichukua, niliona aibu na nilijisikitikia sana mana niligindua nipo raffff na tangu cku hiyo bora nicheleweshe ila nitoe kitu kizur