Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
16,029
Reaction score
26,231
Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi.

Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila mwanachama yeyote ndani ya hicho chams anaweza kugombea urais.

Bila kubadili mfumo huu, tusitarajie maajabu ya kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…