Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,643
Nadhani kuwa na mwanamke asiye na ajira ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume.

Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Huwa nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kuwa mvumilivu sanaa

Unajua kuwa asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "career women"? Je, wajua nchi zinazoongoza kwa divorce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia? Hata humu JF uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni career women.

Aminiamini nakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokuwa the sole bread finder.

Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kuwa kuoa mwanamke mfanyakazi inaleta maendeleo mapema kwa sababu ya kusaidiana. Kwanza niseme siamini katika dhana ya kusaidiana na mwanamke. Hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar!

Mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriously?! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe?! Nadhani this is irresponsibility.

Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa. Mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji.

Mume inatakiwa afanye kazi kwa juhudi ili aitunze familia na naamini hata muumba wetu alikusudia hivyo. Mwanamke anastahili kupendwa, kutunzwa na kulindwa. Sasa mwanaume kazini mwanamke kazini ndo maana wanadai haki sawa. Wanawake wa siku hizi hawajui na hawapati raha ya kuwa wanawake cha ajabu wanataka kuwa sawa na wanaume kwa kufanya kazi ila wanachojijengea ni kiburi kinachowaangamiza wenyewe, na nikwambie kitu, men are smart wanawapa nafasi ila wanawatumia na kuwaacha.

Mwisho naomba nitoe ushauri kuwa kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa career woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife.

Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukute ndo career woman aisee aisee
 
Nyie ndio type ya wanaume mnauouliwa na wake zenu ili wake zenu wapate kujimilikisha mali na uhuru wa kudinywa!

Mwache awe na input itapunguza mivutano ukifa.
(ndugu zako VS mkeo)
 
HATA BABU ALIVYOMWOA BIBI, BIBI ALIKUWA NURSE, LAKINI ALIVYOTIA MIGUU YAKE NDANI ,KAZI NO , NA WAMEISHI KWA FURAHA TUU MORE THAN 78 YEARS MPAKA MZEE ANAFARIKI, ME NIKIKUOA, KAZI HAKUNA KUFANYA, MWANAUME ABAKI KUWA MWANAUME ,


MFUMO DUME UHESHIMIWE., ASILIMIA 98
% KWA 2% NA SIYO 50%50%
Kabisa mkuu
 
Ushawahi kujiuliza ukifa nani atalea familia yako?

Ofcourse wanawake wasomi na wenye kazi wengi wao kwenye swala zima la mahusiano uwaga wajinga wajinga hivi hawajui na wana kibri hatukatai.

Mi nadhani kazi na elimu sio kigezo cha mke mwema kabisaaaaaaa.

Kikubwa ni kufungua biashara ambayo mke anakuwa msimamizi na ww msimamizi mkuu ila lzm mke ajifunze kutafuta pesa hata km sio kwa kufanya kazi basi biashara.

Kwa maisha ya sasa lzm mke na mume wafanye kazi km team kwenye kila nyanja ingawa kwa approach hii lzm uoe mke wakueleweka.
 
Kwahiyo wanawake wote wanaosoma wakipata ajira tusiwaoe ......
Nadhani anachojaribu kufikisha hapa.. ninkwamba wanawake wengi ambao ni career woman huwa wana ile sense ya kutaka mamlaka ndani ya nyumba.

Ila japo si wote, wapo waelewa na wenye kutii waume zao na kusimama katika nafasi zao kama wake..(type ya kina mama samia suluhu).
Sema ni wachache mno..
Waliobaki Mungu saidia
 
Mzee unaharibia wadada flani na Masters zao ila nafikir wapo wanawake rare breed ambao ni career ladies wenye nidhamu za kimke
Yes wapo. Hapa ninapofanya kazi wapo ni tena wakali kimvuto. Ni wasomi yes lakin wanaelewa nafasi zao majumbani kwao na wako responsible kwa waume zao.

Once again kama ulivyosema hawa ni rare breed. Waliobak wanakuwa wapole kipindi hawana kazi, ngoja wapate kazi ndio utaelewa
 
Ushawahi kujiuliza ukifa nani atalea familia yako?

Ofcourse wanawake wasomi na wenye kazi wengi wao kwenye swala zima la mahusiano uwaga wajinga wajinga hivi hawajui na wana kibri hatukatai.

Mi nadhani kazi na elimu sio kigezo cha mke mwema kabisaaaaaaa.

Kikubwa ni kufungua biashara ambayo mke anakuwa msimamizi na ww msimamizi mkuu ila lzm mke ajifunze kutafuta pesa hata km sio kwa kufanya kazi basi biashara.

Kwa maisha ya sasa lzm mke na mume wafanye kazi km team kwenye kila nyanja ingawa kwa approach hii lzm huo a mke wakueleweka.
Amen to that. Umestate vizuri sana.
 
Nyie ndio type ya wanaume mnauouliwa na wake zenu ili wake zenu wapate kujimilikisha mali na uhuru wa kudinywa!

Mwache awe na input itapunguza mivutano ukifa.
(ndugu zako VS mkeo)
Mivutano ukifa kivipi?ndo umeshaambiwa mwanaume tafuta maisha uijengee familia yako mazingira mazuri ukiwa haupo!

Kila kitu kiweke ktk mpangilio unaotakikana ndugu ni ndugu familia yako ni familia yako acha upimbi hakuna kitu kinachoitwa "kusaidiana maisha na mwanamke au mwanamke atakuuwa ili akagongwe mashine" mashine anaweza akagongwa hata akiwa huko unakoita kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom