Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Mpo?
Ni ukweli usio na pingamizi japo mchungu kuwa mwanamke anakomaa kiakili kuliko mwanaume.
Mwanamke wa miaka 20 ana akili sawa na mwanaume wa miaka 28.
Hii imekuwa sababu kubwa ya wanandoa kutalakiana. Mwanaume anapooa mwanamke wa rika lake, hapo hajaoa mke bali mshirika aliyemzidi kiakili, kiubunifu na mengineyo.
Itakuwa bora kama anayetarajia kuoa au kuolewa atafute aliyepishana naye kwa miaka ikipungua sana 10.(mume amzidi mke)
Mambo ya ushugadaddy na ushugananny waachie masharobaro!