Ushauri wa Bure: Serikali iachane na Askofu Kakobe

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala unaondelea kati ya Askofu Kakobe na Serikali, nafikiri hoja ya Askofu Kakobe kwamba viongozi / Kiongozi wa Serikali atubu imesikika kama kweli kuna jambo linalohitaji kutubu, Viongozi wa Serikali hawapaswi kujiona wao ni malaika hawatendi makosa na hawahitaji kutubu, mbingu ztawahukumu.
Kwa jinsi Mjadala unavyoendelea na watetezi wa Serikali wanavyoongezeka kila siku ,sina uhakika kama wanafanya kwa mapenzi walionayo kwa serikali au wanafanya huo utetezi kumfurahisha mtawala /watawala, kwa utetezi wao usio na hoja za kimbingu, (maana accusation ni za kimbingu ) hao watetezi ndo wanazidi kuufanya Mjadala uwe hot na kucreate Public attention, sasa hivi TRA nao wameingia Kwenye mkumbo huo, yote hii italeta Public sympathy kwa Askofu Kakobe kwamba anaonewa ,na kibaya zaidi kuna watu wanamwamini kwa kila atakachowaambia, na vile vile itaonekana ni vita ya serikali dhidi ya dini kitu ambacho haitaleta picha nzuri, na huenda Kakobe ameishaligundua hilo na ndicho anachotaka, it is a trap, Serikali should be so smart to see this and stay away from it.
Pia ule upande wa pili unaotegemea siasa za matukio unafurahia kwa kinachoendelea, fatilieni tweet za some of officials. Hii isiwe na isionekane ni vita ya kiimani, Kakobe et al waachwe waongee na Serikali isijibishane nao.
 
Rubbish, upande gani unategemea siasa za matukio,
 
Ushauri mzuri. Nami awali nilifikiria kitu kama hicho, iwe kama Bush alivyowahi kusema kuwa hawez kujibizana na Eminem (mjadala ukaisha)
 
Toba ni muhimu kabla ya 2018....ila naimani mkuu kesho anaenda kutubu,tena kwa kakobe!...
 
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala unaondelea kati ya Askofu Kakobe na Serikali, nafikiri hoja ya Askofu Kakobe kwamba viongozi / Kiongozi wa Serikali atubu imesikika kama kweli kuna jambo linalohitaji kutubu, Viongozi wa Serikali hawapaswi kujiona wao ni malaika hawatendi makosa na hawahitaji kutubu, mbingu ztawahukumu.
Kwa jinsi Mjadala unavyoendelea na watetezi wa Serikali wanavyoongezeka kila siku ,sina uhakika kama wanafanya kwa mapenzi walionayo kwa serikali au wanafanya huo utetezi kumfurahisha mtawala /watawala, kwa utetezi wao usio na hoja za kimbingu, (maana accusation ni za kimbingu ) hao watetezi ndo wanazidi kuufanya Mjadala uwe hot na kucreate Public attention, sasa hivi TRA nao wameingia Kwenye mkumbo huo, yote hii italeta Public sympathy kwa Askofu Kakobe kwamba anaonewa ,na kibaya zaidi kuna watu wanamwamini kwa kila atakachowaambia, na vile vile itaonekana ni vita ya serikali dhidi ya dini kitu ambacho haitaleta picha nzuri, na huenda Kakobe ameishaligundua hilo na ndicho anachotaka, it is a trap, Serikali should be so smart to see this and stay away from it.
Pia ule upande wa pili unaotegemea siasa za matukio unafurahia kwa kinachoendelea, fatilieni tweet za some of officials. Hii isiwe na isionekane ni vita ya kiimani, Kakobe et al waachwe waongee na Serikali isijibishane nao.

Kakobe atakuwa anatumiwa na Chadema au la atakuwa anatafuta kick maana ni miaka imepita nilikuwa sijawahi kumsikia na wala sikujuwa kama bado anaishi hapa nchini. Binafsi, nafikiri aliishiwa pesa za matumizi hivyo akatafuta wahisani (Chadema) wamtumie kupitia mahubiri yake. HAKUNA mtu wala taasisi yeyote inayoweza kushinda serikali duniani, Never. It has never happened before.
 
Ushauri mzuri. Nami awali nilifikiria kitu kama hicho, iwe kama Bush alivyowahi kusema kuwa hawez kujibizana na Eminem (mjadala ukaisha)
Sure, sometimes siyo kila jambo ni ya kujibu, hata kukaa kimya ni busara. Kwa kuendelea kuliongelea hili ,the Government is playing his tunes, lakini pia kwa sasa inaonekana ni vita ya kiimani ambapo hakuna Serikali umewahi kuwa na mwisho mzuri kwa kuanzisha vita ya kiimani.
 
Ushauri mzuri. Nami awali nilifikiria kitu kama hicho, iwe kama Bush alivyowahi kusema kuwa hawez kujibizana na Eminem (mjadala ukaisha)
Bush was one of the hopeless Presidents USA had ever experienced.................
 
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala unaondelea kati ya Askofu Kakobe na Serikali, nafikiri hoja ya Askofu Kakobe kwamba viongozi / Kiongozi wa Serikali atubu imesikika kama kweli kuna jambo linalohitaji kutubu, Viongozi wa Serikali hawapaswi kujiona wao ni malaika hawatendi makosa na hawahitaji kutubu, mbingu ztawahukumu.
Kwa jinsi Mjadala unavyoendelea na watetezi wa Serikali wanavyoongezeka kila siku ,sina uhakika kama wanafanya kwa mapenzi walionayo kwa serikali au wanafanya huo utetezi kumfurahisha mtawala /watawala, kwa utetezi wao usio na hoja za kimbingu, (maana accusation ni za kimbingu ) hao watetezi ndo wanazidi kuufanya Mjadala uwe hot na kucreate Public attention, sasa hivi TRA nao wameingia Kwenye mkumbo huo, yote hii italeta Public sympathy kwa Askofu Kakobe kwamba anaonewa ,na kibaya zaidi kuna watu wanamwamini kwa kila atakachowaambia, na vile vile itaonekana ni vita ya serikali dhidi ya dini kitu ambacho haitaleta picha nzuri, na huenda Kakobe ameishaligundua hilo na ndicho anachotaka, it is a trap, Serikali should be so smart to see this and stay away from it.
Pia ule upande wa pili unaotegemea siasa za matukio unafurahia kwa kinachoendelea, fatilieni tweet za some of officials. Hii isiwe na isionekane ni vita ya kiimani, Kakobe et al waachwe waongee na Serikali isijibishane nao.
huu siyi ushauri ni upuuzi
 
Mmoja atubu kwani kutubu ni maombi mtu huyafanya peke yake
Mwingine alipe kodi ambayo inanufaisha wengi madawa hospital ujenzi wa mabarabara nk
 
Kakobe atakuwa anatumiwa na Chadema au la atakuwa anatafuta kick maana ni miaka imepita nilikuwa sijawahi kumsikia na wala sikujuwa kama bado anaishi hapa nchini. Binafsi, nafikiri aliishiwa pesa za matumizi hivyo akatafuta wahisani (Chadema) wamtumie kupitia mahubiri yake. HAKUNA mtu wala taasisi yeyote inayoweza kushinda serikali duniani, Never. It has never happened before.

Unaishi dunia ya wapi? MTU au taasisi wana uwezo wa kuitoa serikali madarakani, sema serikali ndio haiwezi kushindana na nguvu ya wananchi wakiamua .
 
Nimekuwa nikifuatilia Mjadala unaondelea kati ya Askofu Kakobe na Serikali, nafikiri hoja ya Askofu Kakobe kwamba viongozi / Kiongozi wa Serikali atubu imesikika kama kweli kuna jambo linalohitaji kutubu, Viongozi wa Serikali hawapaswi kujiona wao ni malaika hawatendi makosa na hawahitaji kutubu, mbingu ztawahukumu.
Kwa jinsi Mjadala unavyoendelea na watetezi wa Serikali wanavyoongezeka kila siku ,sina uhakika kama wanafanya kwa mapenzi walionayo kwa serikali au wanafanya huo utetezi kumfurahisha mtawala /watawala, kwa utetezi wao usio na hoja za kimbingu, (maana accusation ni za kimbingu ) hao watetezi ndo wanazidi kuufanya Mjadala uwe hot na kucreate Public attention, sasa hivi TRA nao wameingia Kwenye mkumbo huo, yote hii italeta Public sympathy kwa Askofu Kakobe kwamba anaonewa ,na kibaya zaidi kuna watu wanamwamini kwa kila atakachowaambia, na vile vile itaonekana ni vita ya serikali dhidi ya dini kitu ambacho haitaleta picha nzuri, na huenda Kakobe ameishaligundua hilo na ndicho anachotaka, it is a trap, Serikali should be so smart to see this and stay away from it.
Pia ule upande wa pili unaotegemea siasa za matukio unafurahia kwa kinachoendelea, fatilieni tweet za some of officials. Hii isiwe na isionekane ni vita ya kiimani, Kakobe et al waachwe waongee na Serikali isijibishane nao.
Umeongea vema lakini sidhani kama watakuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom