Ushauri wa Bure: Serikali iachane na Askofu Kakobe

Ushauri wa Bure: Serikali iachane na Askofu Kakobe

Ana bahati sana huyu Kakobe ni askofu,kwa ccm angekuwa muislamu angepewa kesi ya ugaidi kama wale wa Arusha.
hilo halikwepeki mkuu,,, umeona vyema,,ndy ukweli huo,,angekuwa shehe angepewa kesi ya kibiti
 
Wanafanya makosa makubwa sana kukorofishana na watumishi wa Mungu na kadri muda unaenda naona watumishi wa Mungu wengi wanaguswa na hii dhoruba, najua Mungu hajawahi shindwa.
 
Mkulu atubu kabla ya 2018 Mungu amuondolee visasi. Ajifunze kusamehe na awapende maadui zake wa kisiasa ili taifa lishikamane tena kama zamani. Na hirizi aitupe atakuwa huru zaidi.
 
Unaishi dunia ya wapi? MTU au taasisi wana uwezo wa kuitoa serikali madarakani, sema serikali ndio haiwezi kushindana na nguvu ya wananchi wakiamua .


Naishi Tanzania. Kwa akili yako unafikiri Kakobe anaweza kuing'oa CCM madarakani? Ameshindwa msanii Gwajima 2015, aweze Kakobe? Msidanganyike na hawa wasanii wanaotumia jina la Mungu kujipa umaarufu wasiostahili.
 
Naishi Tanzania. Kwa akili yako unafikiri Kakobe anaweza kuing'oa CCM madarakani? Ameshindwa msanii Gwajima 2015, aweze Kakobe? Msidanganyike na hawa wasanii wanaotumia jina la Mungu kujipa umaarufu wasiostahili.[/QUOTE

Serikali ya Tanzania si Mungu dear lolote lawezekana hata wanafunzi wa primary wanaweza itoa madarakani wakiamua. Kwa sasa unaona watz ni wajinga lakini ogopa sana mjinga akichoka hata Kosovo itakuwa cha mtt
 
Naishi Tanzania. Kwa akili yako unafikiri Kakobe anaweza kuing'oa CCM madarakani? Ameshindwa msanii Gwajima 2015, aweze Kakobe? Msidanganyike na hawa wasanii wanaotumia jina la Mungu kujipa umaarufu wasiostahili.

Serikali ya Tanzania si Mungu inaweza ondolewa na MTU yoyote yule. MTU mmoja tu anaweza washa kiberiti na moto ukasambaa. Kwa sasa unaona watz ni wajinga but siku mjinga akichoka ogopa sana moto wake huwa ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom