Unahama bila kupenda,Hii imenikumbusha nilishuhudia wadada wawili wamekuja na polisi kusema wamebakwa na kijana mmoja alikuwa anaonekana ni mstaarabu sana.Mimi kimoyomoyo nikawa nasema amebakaje watu wawili kwa wakati mmoja mkashindwa hata kupiga kelele.Yule kaka baada ya kama week hivi alihama pale kwa aibu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mkuu[emoji16] na ndio kitu nasemaga kila mara.Kabisa...wanajua kabisa kuwa mwanaume anakuja kutaka mbususu story ndefu za nini. Pesa inatakiwa kurahisisha uvuwaji chupi kwa mwanamke
Tupo pamoja kwenye hiliSawa mkuu[emoji16] na ndio kitu nasemaga kila mara.
Mkuu mimi sisapoti ila nimeleta wakija kusoma hapa wajifunze, lakini pia hii imekuja watu waijadili mana ni vitu vinavyotokea maishani.Kama Ni wahuni kwann unawasapoti, huoni nawe unakua kundi moja na hao wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mwaka Jana kashtakiwa na mkewe wa ndo polisi kwa kumlawiti.Daaah! Sometimes unamuhudumia vizuri tu, humtesi umempa uhuru n.k, ila mkikorofishana tu akishawishiwa na mchepuko wake si anaweza kwenda kukushtaki unambaka hata kama anakupa kwa hiari?
Ila kwa Bongo sijaona mke wa ndoa kabisa akimshitaki mumewe polisi kuwa kabakwa, labda huko ughaibuni. Kesi hizi zinaishia ga kwenye vikao na washenga tu. Wanawake wengi wanabakwa ila hawapo tayarikujidhalilisha kuwashitaki waume zao polisi.
Ila nimepata picha muenendo wa kesi zihusuzo masuala ya jinsia katika nchi hii.
Sijaona kwny comments au Uzi wako ukilaani walichokifanya hao jamaa.Mkuu mimi sisapoti ila nimeleta wakija kusoma hapa wajifunze, lakini pia hii imekuja watu waijadili mana ni vitu vinavyotokea maishani.
Sasa mkuu watajuaje je kama ni stori tu ya kutunga[emoji1787]Mpe pole na mtoa mada maana tayar keshajipiga ban humu jf.
MDA si mrefu jamuhuri wanaenda kumficha korokoroni kwa ubakaji na ulawiti[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua mkuu maana alihama pale hatujui kesi iliendeleajeNi kweli alibaka?
Hakutumia akili wakati anaoa. Huyo tunasema hakuchagia ila ALIOKOTEZA tu malaya akaoa. Hii iwe fundisho, sijui watu huwa wanafeli wapi. Alioa malaya huyo jamaa yako. Huenda mali walitafuta wote yeye na huyo mkewe.Kuna jamaa mwaka Jana kashtakiwa na mkewe wa ndo polisi kwa kumlawiti.
Polisi wamemchojoa pesa jamaa ikafikia hatua AKaomba msamaha kwa mkewe.
Alipotoka TU,
Kaenda kumpiga na kumjeruhi.
Mwanamke kalianzisha jingine anataka talaka, januari mwaka huu kila kituk kimeuzwa wamegawana kila mtu kivyake.
Sema alopata hasara Ni jamaa maana mgao umezingatia watoto alonao mwanamke..
Ukiangalia tu utaratibu wa kuchangia malezi ya watoto,
jamaa unamuumiza sana maana assets zake nying zmekwenda kwa mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kujitafutia majanga tuUnahama bila kupenda,
Apo usikute kahama kukimbia msako wa polisi[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tuwe makini mno kwenye kuoa, malaya hana aibu. Anaweza kukushtaki hata kwa wazazi wako unamlawiti.Sijaona kwny comments au Uzi wako ukilaani walichokifanya hao jamaa.
Hii kesi sio ya kuishabikia kwa mihemko, majuto yake n makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu hapo.Kama mwanamke unampa hela ndio akuvulie jua upo kwenye biashara isiyo rasmi tu,na kwenye biashara kuna faida na hasara.Muwe mnawekeza mnavyoweza kupoteza mwisho wa siku ndio kama hapo eti unaenda kubaka[emoji1751][emoji1751]Sawa mkuu[emoji16] na ndio kitu nasemaga kila mara.
Wewe una akili, umewashinda wanaume wengi sana kwenye thredi hii kwa kufikiri kwako. Kongole!Hamna kitu hapo.Kama mwanamke unampa hela ndio akuvulie jua upo kwenye biashara isiyo rasmi tu,na kwenye biashara kuna faida na hasara.Muwe mnawekeza mnavyoweza kupoteza mwisho wa siku ndio kama hapo eti unaenda kubaka[emoji1751][emoji1751]
mkuu huyo jamaa anamaanisha kwamba huyo manzi atakuwa na aibu sana ,pili atawaza watu/jamii ikishajua nimeingiliwa kinyume na maumbile plus kubakwa na watu 8 (hapo kitakachomtesa ni saikolojia) ataona bora kubaki nalo moyoniHii kesi ni nyeupe kumfunga mtu yeyote.
Wee ujawai shuhudia kahaba kazulumiwa pesa yake au umemla tigo nje ya bei afu Kaenda kukushtaki polisi kabakwa na kifirwa.
Mtiti wake unajua ukoje?
Aisee Zitakutoka nyingi kuliko hata Ile pesa ulopaswa kumlipa.
Yaani kisheria mwanamke hata awe anajiuza, ukishtakiwa nae polisi UMEISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu rudia kusomaSijaona kwny comments au Uzi wako ukilaani walichokifanya hao jamaa.
Hii kesi sio ya kuishabikia kwa mihemko, majuto yake n makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wakina nani mkuuKuna watu huwa hawapendagi kua huru, yaan mtu anawashwa kwenda jela
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu hii ni chai nimeileta hapa nione watu wataizungumziajeSasa hapo wamemuonea tu huyo mwanamke. Maana kama amekuja mpaka ghetto kuliwa,ni wapi alipokataa kuliwa mbususu baada ya kula pesa?. Naona ulikosa cha kuleta ubaoni hapa. Hakuna tukio kama hilo,hii ni chai
Ukishakua korokoroni sidhani Kama UTakua na access na JF.Sasa mkuu watajuaje je kama ni stori tu ya kutunga[emoji1787]
Ndo maana nikasema mom kesi kaimaliza, pesa ilimtoka kwelikweliHakutumia akili wakati anaoa. Huyo tunasema hakuchagia ila ALIOKOTEZA tu malaya akaoa. Hii iwe fundisho, sijui watu huwa wanafeli wapi. Alioa malaya huyo jamaa yako. Huenda mali walitafuta wote yeye na huyo mkewe.
Halafu, kesi ya ulawiti si kama kesi ya kumtusi mtu, ni kesi ya Jamhuri. Hapo inaonekana rushwa ilitembea, haiwezekani mlalamikaji afute kesi ya ULAWITI kirahisi hivyo, wakati ni ya Jamhuri. Hapa pia najifunza yanayotendeka katika vyombo vyetu vya mahakama.