Upalumbafu huo na maana ake jama Ni jinga tu si amwambke arudishe peza zakeMkuu kuna watu wanaroho ngumu demu kaingiliwa na wanaume 8 katoka getto analia mashuka yamejaa damu, msera mwenyewe anasema hivyo ndio safi kwa mademu wenye tabia hiyo.
Apa jamaa wasijione miamba, Dem akiamua kua serious wote wanaozea jela miaka 30[emoji4]Hiyo Ni kesi mbna dad Yule akipata mpellezi mzuri anashinda hyo kesi ya kupigwa mtungi
😄😄😄 hakikaa mkuuMnapotoa vitu muwage mnasema mapema sasa Ni kwamba ajili ya hiki na hiki,kukataliwa Mbona sio dhambi chief[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayosema ni kweli mkuu yapo lakini uyu jamaa alikua amemtongoza kabisa, anaishia kula mate tu demu ndio anampoza namna hiyo,Hapa Kuna shida mahali,
Hao unaowaita miamba Wengine unakuta Ni wapumbavu.
Mtu anatoa vitu lukuki afu hata kumtongoza hajamtongoza, binti akikubali kupokea vile vitu jamaa anajipa tiketi kwamba keshakubali mahusiano.
Jamaa anakuja kuibukia direct kwenye kuomba penzi, binti anahamaki imekuaje kuaje.
Akikataliwa penzi ndo fujo Kama hizo Apo unakuta mtoa mada.
NMESHUHUDIA SANA VITU KAMA HIZO HASA KWA MADOMO ZEGE
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa nazo ila zilidhibitiwa.Watakula tu huyo hakuwa na mbinu za ku escape kwenye hiyo scene.
Uyo Dem ningemshaur akawashtaki, hao jamaa Ni wapumbavu.Upalumbafu huo na maana ake jama Ni jinga tu si amwambke arudishe peza zake
Kabisa mkuu.Hakuna cha bure.
Hizo Ni tabia za MADOMO zege,[emoji1][emoji1][emoji1] hakikaa mkuu
Fact kbsa uhuni huu ukomeApa jamaa wasijione miamba, Dem akiamua kua serious wote wanaozea jela miaka 30[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanategemea kuwa demu atajiongeza. Wapaze sautiiHizo Ni tabia za MADOMO zege,
Wanatoa TU vitu ovyo hata hawajatongoza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashuka yamejaa damu yaani mkuu ni hatari.Inasikitisha sana.
******* kabisa haya madomo zege. Sorry mpaka nimetukana. Hayaombwi yanatoa tu, siku yangu imeshaharibika mkuuHapa Kuna shida mahali,
Hao unaowaita miamba Wengine unakuta Ni wapumbavu.
Mtu anatoa vitu lukuki afu hata kumtongoza hajamtongoza, binti akikubali kupokea vile vitu jamaa anajipa tiketi kwamba keshakubali mahusiano.
Jamaa anakuja kuibukia direct kwenye kuomba penzi, binti anahamaki imekuaje kuaje.
Akikataliwa penzi ndo fujo Kama hizo Apo unakuta mtoa mada.
NMESHUHUDIA SANA VITU KAMA HIZO HASA KWA MADOMO ZEGE
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo jamaa Ni mshamba,Unayosema ni kweli mkuu yapo lakini uyu jamaa alikua amemtongoza kabisa, anaishia kula mate tu demu ndio anampoza namna hiyo,
Jamaa akiomba mzigo anapigwa Karenda hapo hapo anapigwa mzinga, demu anatoa ahadi feki msera akaona usinitanie
Ushamba Sana,Fact kbsa uhuni huu ukome
Atawakomoaje?Uyo jamaa Ni mshamba,
kafeli sana kwenye diplomasia ya ushawishi.
Uchi hauombwi kienyeji namna iyo, Lazima atengeneze ushawishi na hisia kwanza.
Apo mdada akitaka kuwakomoa Ni dkk sifur, wote wanajitoa upumbavu huo waloufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo bila hata wakili,Pengine hata Ni wee ndio umefanya unyama huo na unajuwa kbsa kila siku nyuz zimo huku za kula kimasiara
Mwabie hyu dad kuwa aende police aripoti atafuta mpelelezi mzuri tu awajambishe hao unaowaita miamba
WujingaMkuu kuna watu wanaroho ngumu demu kaingiliwa na wanaume 8 katoka getto analia mashuka yamejaa damu, msera mwenyewe anasema hivyo ndio safi kwa mademu wenye tabia hiyo.
Ni sawa lakini na kama mmekubaliana kama ulivyosema halafu mwisho wa siku mzigo atoi what next????Mnapotoa vitu muwage mnasema mapema sasa Ni kwamba ajili ya hiki na hiki,kukataliwa Mbona sio dhambi chief[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app