Ushauri wa bure kwa wamiliki na uongozi wa Dar express

ugali dagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,284
Reaction score
1,128
Binafsi ni mdau mkubwa sana wa maswala ya usafiri/ usafirishaji moja ya nguzo bora ya usafirishaji na usafiri ni kuhakikisha mizigo na abiria wanafika/inafika sehemu husika salama na bila misukosuko.

Nilipendezwa sana jinsi mabasi yale scandnavia yalivyokuwa yanafanya shughuli zake,sijui kikatokea nini tena au jinsi haya mabasi ya Ratco yanavyofanya shughuli zake mabasi masafi yanaondoka kwa muda hakuna abiria wa ziada halisimami ovyo barabarani ingawa kuna mapungufu madogo madogo.

Dar express nayo yalikuja vizuri sana tena sana kwani huyu jamaa alikuwa ananunua benz sio yutong ukilipa nauli yako japo ni kubwa unaridhika na huduma, mfano halisimami ovyo njiani madirisha yanafungwa full ac kwa hiyo ukikumbana na strabag njiani wakiwa wanafanya shughuli zao haiathiri abiria ni ukweli usiopingika kwamba ile status ya Dar express haipo tena kwani ni jambo la kawaida sana haya magari kufia njiani, kusimama ovyo kusanya na mabasi yake mengi ni machakavu.

Mh. Mrema alisema siku moja ukishindwa biashara ya duka unafungua genge, sasa haya ma benzi gharama yake ni takribani milioni mia mbili ambayo unapata yutong nne.

Ushauri wangu kwa huyu jamaa anunue tu yutong kwa muda wa miaka miwili yutong moja litakuwa limerudisha hela kisha dispose na kununua mengine maisha yanaendelea na status inabaki pale pale.

Nasikitika sana nikikutana na haya mabasi barabarani yanavuja rejeta halafu fundi kalala chini.
 
binafsi ni mdau mkubwa sana wa maswala ya usafiri/ usafirishaji moja ya nguzo bora ya usafirishaji na usafiri ni kuhakikisha mizigo na abiria wanafika/inafika sehemu husika salama na bila misukosuko...nilipendezwa sana jinsi mabasi yale scandnavia yalivyokuwa yanafanya shughuli zake....sijui kikatokea nini tena au jinsi haya mabasi ya ratco yanavyo fanya shughuli zake mabasi masafi yanaondoka kwa muda hakuna abiria wa ziada halisimami ovyo barabarani ingawa kuna mapungufu madogo madogo..Dar express nayo yalikuja vizuri sana tena sana kwani huyu jamaa alikuwa ananunua benz sio yutong ukilipa nauli yako japo ni kubwa unaridhika na huduma, mfano halisimami ovyo njiani madirisha yanafungwa full ac kwa hiyo ukikumbana na strabag njiani wakiwa wanafanya shughuli zao haiathiri abiria ni ukweli usiopingika kwamba ile status ya Dar express haipo tena kwani ni jambo la kawaida sana haya magari kufia njiani, kusimama ovyo kusanya na mabasi yake mengi ni machakavu.

mh Mrema alisema siku moja ukishindwa biashara ya duka unafungua genge, sasa haya ma benzi gharama yake ni takribani milioni mia mbili ambayo unapata yutong nne ushauri wangu kwa huyu jamaa anunue tu yutong kwa muda wa miaka miwili yutong moja litakuwa limerudisha hela kisha dispose na kununua mengine maisha yanaendelea na status inabaki pale pale nasikitika sana nikikutana na haya mabasi barabarani yanavuja rejeta halafu fundi kalala chini

nasikia ila sina uhakika kuwa bosi wa hizo gari alipass away na kabaki mkewe ndo maana anashindwa kucontrol as b4.
 
Mkuu haya mayutong haya sio ndio yako kama biscut??

Ajali ya Jana imeua watu wengi sababu ya aina ya Bus...
 
Awa wasipoangalia wanafulia co muda mrefu mzee kampuni haina basi jipya mwaka sasa zile dar coach zote zshachoka zmebak za nairobi tu ambazo nazo kwisha habari yake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mzee mremi yuko fiti na si ajabu akiona uzi huu akaongeza benz nyingine mpyaa
 
nasikia ila sina uhakika
kuwa bosi wa hizo gari alipass away na kabaki mkewe ndo maana anashindwa
kucontrol as b4.

Huyo bwana hajafariki,mke wake ndiye aliyefariki,
 
Dar express kwisha habar yake. By the way.. kwa njia ya dar to arusha ni mabasi gani yaliyopo sasa hivi ambayo ni luxury?
 
ina mwendo salama na mi naipendea hilo. full stop
 
nasikia ila sina uhakika kuwa bosi wa hizo gari alipass away na kabaki mkewe ndo maana anashindwa kucontrol as b4.

Mkewe si alisha rest in peace au kuna mwingine huyo atakuwa chuma ulete atupe kule manake kuna wanawake nuksi ukioa km ulikuwa una mali unafilisika mdogomdogo.
 
nasikia ila sina uhakika kuwa bosi wa hizo gari alipass away na kabaki mkewe ndo maana anashindwa kucontrol as b4.

Wife OG ndiyo alisepa away na ndiyo alikuwa anasinamia hizo shughuli kwa umakini mkubwa sasa anayemaliza zile basi ni Nyumba ndogo yake ya longtime inayojifanya ndiyo mke kwa sasa ambaye hajui chochote zaidi ya kuiba.
 
dar express wana magari ya viwango tofauti, kama wee ulipanda kweche basi limeenda sawa na nauli uliyolipa, . arusha dar hayo ndo yenyewe yakifuatiwa na KLM, Mtei, Buffalo, Ngorika, Sai baba,
 
nasikia ila sina uhakika kuwa bosi wa hizo gari alipass away na kabaki mkewe ndo maana anashindwa kucontrol as b4.

Aliyekufa ni mama (mke wa mwenye magari). Huyo mama ndo alikua anajua spare za gari zinapatikana wapi na ndiye aliyekua msimamizi mkuu. Baada ya kufa mumewe kaenda kuoa binti wa miaka 20 wanatumbua mali pole pole. Gari zote alikua ananunua mama japo baba ndo mtoaji wa pesa za manunuzi.
 
Binafsi ni mdau mkubwa sana wa maswala ya usafiri/ usafirishaji moja ya nguzo bora ya usafirishaji na usafiri ni kuhakikisha mizigo na abiria wanafika/inafika sehemu husika salama na bila misukosuko.

Nilipendezwa sana jinsi mabasi yale scandnavia yalivyokuwa yanafanya shughuli zake,sijui kikatokea nini tena au jinsi haya mabasi ya Ratco yanavyofanya shughuli zake mabasi masafi yanaondoka kwa muda hakuna abiria wa ziada halisimami ovyo barabarani ingawa kuna mapungufu madogo madogo.

Dar express nayo yalikuja vizuri sana tena sana kwani huyu jamaa alikuwa ananunua benz sio yutong ukilipa nauli yako japo ni kubwa unaridhika na huduma, mfano halisimami ovyo njiani madirisha yanafungwa full ac kwa hiyo ukikumbana na strabag njiani wakiwa wanafanya shughuli zao haiathiri abiria ni ukweli usiopingika kwamba ile status ya Dar express haipo tena kwani ni jambo la kawaida sana haya magari kufia njiani, kusimama ovyo kusanya na mabasi yake mengi ni machakavu.

Mh. Mrema alisema siku moja ukishindwa biashara ya duka unafungua genge, sasa haya ma benzi gharama yake ni takribani milioni mia mbili ambayo unapata yutong nne.

Ushauri wangu kwa huyu jamaa anunue tu yutong kwa muda wa miaka miwili yutong moja litakuwa limerudisha hela kisha dispose na kununua mengine maisha yanaendelea na status inabaki pale pale.

Nasikitika sana nikikutana na haya mabasi barabarani yanavuja rejeta halafu fundi kalala chini.
Mkuu kila lenye mwanzo lina mwisho na ivumayo sana haidumu. Hiyo ni nature hakuna kitu kinachobaki vile vile siku zote. Kitu huanza na hatimaye hufa!
 
Back
Top Bottom