Ushauri wa bure kwa wamiliki na uongozi wa Dar express

Ushauri wa bure kwa wamiliki na uongozi wa Dar express

Pamoja na kuchoka kwa Dar express, hakuna luxury zingine kwa Dar-Arusha. Ila kwa kweli siku hizi ameboa sana
 
Yutong bei yake sio milioni 100 ndugu, ni kuanzia 220m na kuendelea hadi 250m Kwa sasa.
 
dar express wana magari ya viwango tofauti, kama wee ulipanda kweche basi limeenda sawa na nauli uliyolipa, . arusha dar hayo ndo yenyewe yakifuatiwa na KLM, Mtei, Buffalo, Ngorika, Sai baba,
...acha ubishi bwana, Dar Express ni spana mkononi: kwa Dar-Arusha hawana jipya.....mara mia watu tukajivinjari na Kilimanjaro Express, Buffalo na Kidia One.
 
duh basi zile marco polo zitakuwa kwenye 500m
 
Hao wengine wana bahatisha bado. Kama hali itaendelea hivihivi, huko mbeleni ndo KLM wanaweza kuwa juu ya Dar express.

Bufallo wanakimbia sana so kwenye usalama ni ishu.

Pia huduma kwa mteja bado Dar express iko juu japo inashuka kwa kasi ajabu.

Zile Irizar ndo zilianza kumtoa Mremi kwenye reli. Then akaingia chaka tena kwenye hizo DarCoach.

Madhali wao ni wa muda mrefu kwenye gemu, watarejesha ule ubora tuliokua tukiujua kwao.


Btw, kuhakikisha kupanda Basi lao, ukate tiketi walau siku moja kabla.
 
Kwa ujumla, kwa sasa wanauzia jina lao na hiyo huduma kwa mteja iliyobaki kidogo.
 
Pamoja name changamoto zote hizo bado Dar Express wapo juu.
 
Aliyekufa ni mama (mke wa mwenye magari). Huyo mama ndo alikua anajua spare za gari zinapatikana wapi na ndiye aliyekua msimamizi mkuu. Baada ya kufa mumewe kaenda kuoa binti wa miaka 20 wanatumbua mali pole pole. Gari zote alikua ananunua mama japo baba ndo mtoaji wa pesa za manunuzi.

Aisee if true nampa bigup late máma.
 
Back
Top Bottom