Ushauri wa bure kwa sisi wanawake

Mimi ni mtu siwezi kuongea nikiona haina sababu ya kuongea halafu kuliwa sio kipya mtu akienda,aendreee tu haikuwa riziki anasema anaenda nibasi tu,aendee sina nguvu yakupigana. Ila akinijibu vibaya ndio nitamfunza,ila akienda aendee ila kama nimempenda sana basi naenda namuomba Mungu basi
 
Hayo yote yanaletwa na mahusiano uchwara yasiyokuwa na mbele wala nyuma njoeni tukae single wakuu
 
Jambo jema hivi na hisia zinaenda au nazo zinatoka😆
 
Hahahah yakakutoka maneno mazito [emoji848] hatari hiyo
Niliblock tu laini kake nilimsajiria kalikuwa na viakiba akawa anataka msaada nifungulie atoe Hela nikamwambia kuwa na adabu sikufungulii nenda kashitaki
 
.......binafsi sifahamu huyo kajala kafanya nini lakini mimi nikupongeze wewe kwa neno lako la hekima sana kwa wenzio, na umeongea kwa busara na hisia hasa hiyo para ya kwanza na mwisho, inaonekana una utulivu fulani na brain maturity ya hali ya juu, safi Mtoto mzuri Adela.......
 
Shukrani mkuu [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…