ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

hakuna hiyo mimba ni yangu kabisa naona ana jaribu kumfariji huyo jamaa! Maana jamaa ana shida ya watoto! Sijui kwanini asiende kwenye vituo vya watoto yatima!

akiwa darasa la nne alifumaniwa na kuku wa jirani wakamkata niniliyu.
 
mzee chikwanche wa tandahimba vipi kakukamilishia mzigo? Mmalize tu huyu mbaya wako,hakuna kuchukua mateka.

nimeona niunganishe hadi sumbawanga kwa mzee anaitwa kyoma ili nyeti zake zipotee na zitarudi 2015
 
Huyo ana cheza na Aspirin! Juzi nilimuona pale kwa machine akaniambia amekwenda kununua cement, kilicho nishangaza ilikuwa usiku!

katika huu mtanange which side are you? btw muda si mrefu nimemwona Asprin anaingia buibui gest kwa manyanya.
 
Last edited by a moderator:
:smile: aaaaahh zoomzoom zumuzuumu,mjini hapa,toka umeachana nae ni muda gani?si ulisusa?ukawa unampiga mangumi?binti akakonda hasa?

lakini rutta na wewe ulikuwa wapi mpaka mke anatiwa mimba na jirani?
 
nimeona niunganishe hadi sumbawanga kwa mzee anaitwa kyoma ili nyeti zake zipotee na zitarudi 2015

huyo mzee namjua ni barrraaaa,yeye ndoa alimpa lusinde ubunge mtera,ukimchezea anakugeuza uso nyuma kisogo mbele.
 
Na ntaweka mtego kabisa mtu akiingia tu nyeti zake hazioni tena mpaka ni we rais!

huyo mzee namjua ni barrraaaa,yeye ndoa alimpa lusinde ubunge mtera,ukimchezea anakugeuza uso nyuma kisogo mbele.
 
Halafu naona kama Baba V kapewa mlungula....hebu ingilia kati mkuu.

tedo usione kimya, naendelea kuangalia kila kinachoenflea hapa na kesho ndo nakabidhiwa ripoti rasmi na alhamisi natoa tamko ambalo litaanza kutekelezwa mara baada ya tamko kutolewa.Hakuna aliye juu ya sheria na alhamisi watajua kuwa sheria zimewekwa ili zifuatwe,
 
Last edited by a moderator:

Na tutaona sasa.
Acha mkwara wako mbuzi.
Hata mkiniachanisha na Hubby wangu,nitaendelea kukomaa nae.
Wivu tu.
 
Last edited by a moderator:

kakutana na kijana mvuvi wa dagaa kutoka visiwa vya kome mchangani huko kanda ya ziwa bwana Chimbuvu yani imekuwa ni usumbufu tu,
 
Last edited by a moderator:
Jamani Bishanga nyumba yako yaungua moto wewe umekalia kuzima kwa wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…