Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Wapi dictionary?
"kajani katakako kupaka mavi huwa kanakuawaga kameinama"msemo huu umetokana na logic ile ya tabia ya kujisaidia vichakani,kuwa unapojisaidia kichakani juu ya majani kunauwezekano wa jani lilo kandamizwa na kinyes likafyatuka na kukupaka kinyes.ni sawa na Bishanga kumfananisha na kajani ambako kalikua kameinama sasa kanafyatuka na kumpaka mtu kinyes.upo hapo?
Duh! Ukimaanisha?
Ungejua...
Hv Ruhazwe JR unamjua kwanza au unapiga nae stori tu?
Ungejua...
Hv Ruhazwe JR unamjua kwanza au unapiga nae stori tu?
we baba kwa majungu tu hujambo,fuko lako limekushinda kupakata la mwenzio utaliwezea wapi shut your mouth acha wenzio wajinafasi.
Yani namshanga huyu X-shem wangu,ananifatiliiiiaaa wakati mahari hata hawajamaliza.
mi mkwe bana!
Madame B wala hili linalojiita bepari la kihaya lisikuwazishe, unampiga nuksi ya mayai viza na mavi baaasi. kutwa kucha atakuwa anahemea chai ya rangi na vitumbua kwako lol!
nakufatilia eh? umesahau sasa kipindi Ruttashobolwa anachelewa kurudi usiku ulikuwa unamlilia nani? na alipokwenda ulaya hela ya chakula alikuwa anakupa nani?