Yani jamani,tutetee ndoa zetu.
Hapa ni kama analimwagia zege maji,anatuimarisha zaidi
u
Masikini kijana wa watu,nakuhurumia kweli,
laiti ungejiona unavyotia huruma kwenye kile kichupa
alichokificha uvunguni upande unaoelekeza kichwa
na machozi yanavyokutoka ndani ya hicho kichupa,,
Achana na mimi wewe.
Msiri gani wewe?
Kazi kubwabwaja siri zangu nje.
Hakyanani...duu...!!!
kwi kwi kwi kwi.....Nasubiri siku atakapokuaj na sredi mpya ya kuomba ushauri..u
Masikini kijana wa watu,nakuhurumia kweli,
laiti ungejiona unavyotia huruma kwenye kile kichupa
alichokificha uvunguni upande unaoelekeza kichwa
na machozi yanavyokutoka ndani ya hicho kichupa,,
Muvi zinawaharibu hizo
Inakuhusu...Umeamka?
kwi kwi kwi kwi.....Nasubiri siku atakapokuaj na sredi mpya ya kuomba ushauri..
kwi kwi kwi kwi.....Nasubiri siku atakapokuaj na sredi mpya ya kuomba ushauri..
Nilikuwa siamini katika Limbwata,ila kwa sasa nakaribia kuamini..
Inakuhusu...
Mambo mengi siku hizi mara oohh kasukumwa na mwandani wake mara oohh .......