Ushauri wa Bure Kwa Mhe. Zitto on Escrow Report: Please Keep Quite!, Macho Yote ni Kwako!.

Wanabodi,

.....Ushauri wangu kwa Mhe. Zitto, at the moment, just jinyamazie chime kabisa!, hiyo ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwako kama mwenyekiti wa PAC na sio kama Zitto Kabwe, hupaswi kusema chochote kwa sasa kwa sababu hata contents za ripoti yenyewe bado ziko supposed to be confidential, hivyo sio public document hadi zitakapowasilishwa rasmi mezani kwa spika!. The same applies to contents zozote za maoni ya PAC ni confidencial mpaka yawasilishwe mezani!, unapaswa kujitenganisha wewe kama Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na wewe kama Mwenyekiti wa PAC!, hivyo hata ukifatwa na waandishi kuulizwa details zozote za confidential matter, hupaswi to disclose at this moment.

Pasco.

Wakuu naomba tumuelewe Pasco kwamba hajasema Zitto asiseme chochote, la hasha, ila kutokana na unyeti na hatua iliyofikiwa kuhusu hilisuala ni vema kwa sasa Zitto angejikita zaidi kumalizia kazi aliyokabidhiwa kama mwenyekiti wa PAC na muda utakapofika, ataeleza yote. Kama mmefuatilia vizuri kwenye hayo mahojiani, Zitto anasema bado kazi haijakamilika, ni vema angemaliza kazi akakabidhi kwa bunge kisha taratibu zingine zikafuata. Hapo hata yeye angeweza kutoa maoni au mtazamo wake kwa umma.

Mwisho kabisa, huu ni ushauri tu katoa Pasco!
 
Last edited by a moderator:
7. Kujikweza (superiority complex)
8. Kujifagilia kwa sana (boastfulness)

Pasco uliandika haya juu ya Zitto
 
Last edited by a moderator:
With all due respect Pasco, please wacha mambo yawe wazi mapema, Kama Watu wa UWT wanataka kuchakachua mpaka Maoni ya PAC, ni better yawe wazi mapema as one never knows muda uliobaki what might happen even kwa PAC, so Ni vema to move the goal post especially in this very sensitive and complicated saga, ningeshauri hata mkuu Invisible angetutupia na zile pages which were purportedly removed, ili kuavoid any doctoring of these sensitive documents.further wahusika washughulikiwe irrespective of their positions so that we have good precedence in this country, ultimately wahisani warelease funds za maendeleo, ili to move forward.
 
mwacheni bana alete vitu vyote hadharani tumjuwe wa kumshika mapema si mnasikia uko page kadhaa zimeanza kunyofolewa

Bare knuckle fight, GLOVES ARE OFF. Haturudi nyuma kamwe hadi kieleweke.
 

Attachments

  • 334382159_e2b6647e7d.jpg
    334382159_e2b6647e7d.jpg
    71.5 KB · Views: 103
Back
Top Bottom