Ushauri wa Bure Kwa Mhe. Zitto on Escrow Report: Please Keep Quite!, Macho Yote ni Kwako!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,838
2,000
Wanabodi,

Naomba kukiri kuwa nimekuwa inspired kupandisha thread hii, kufuation thread ya Mkuu Kakke
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe

Na Abdallah Khamis 23/11/2014

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC),Zitto Kabwe, amesema kamati yake itatoa hoja ya kuanza mchakato wa kikatiba wa kumvua ujaji, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, jaji Frederick Werema.
Mbali na dhamira ya kutaka jaji Werema avuliwe ujaji pia, Zitto amesema kamati yake itapendekeza watu wote waliohusika katika kashfa ya wizi wa akaunti ya Tegeta Escrow, wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufilisiwa mali zao.

Zitto, alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na Tanzania Daima Jumapili, kuhusu sakata la Escrow linaloendelea hivi sasa.
Majibu ya Zitto yalitokana na maswali ya gazeti hili yaliyotaka kujua hatua zitakazopendekezwa na kamati yake baada ya kukamilisha kazi ya kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG), juu ya akaunti ya Tegeta Escrow.
Alisema kimsingi kilichofanyika katika tukio hilo ni zaidi ya wizi wa kawaida na kwamba wahusika ni vema wakafilisiwa mali zao kisha wachukuliwe hatua nyingine za kisheria.

“Suala hili sio wizi wa kawaida bali ni ‘money laundering’. Kwa hiyo kufilisiwa ili kurejesha fedha hizo ni hatua nyingine itakayopendekezwa”alisema Zitto.
Alisema hatua hiyo itakuwa ni fundisho kwa wengine huku akikumbushia matukio ya wizi wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje(EPA) na sakata la kampuni ya kufua umeme wa Richmond.

Alisema kamati yake bado inaendelea na kazi na kwamba walichogundua ni kuwa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilikuwa za umma na kwamba kampuni ya Pan Africa Power Resources (PAP) hawakuwa na uhalali wa kuchukua fedha hizo.

“PAC bado inaendelea na kazi. Watu wote ambao wamehusika katika wizi huu tutapendekeza wawajibishwe na kuchukuliwa hatua za kisheria.”alisema

Chanzo Tanzania Daima
Kwa maoni yangu, this interview should never have happened!, hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote la Mhe. Zitto, impulsiveness driven ya self esteem na egotistic desires!.

Kwa sasa Mhe. Zitto ndie "the center of attention!", macho ya Watanzaia wote yako kwake!, macho ya Bunge zima yako kwake!, Macho ya Jumuiya ya Kimataifa yako kwake!, Macho ya nchi wafadhili, yako kwako!, macho ya dunia nzima wenye interest na Tanzania, yako kwake!, why he had to pre empty such a big thing kwenye gazeti?!, why?, what is his motive behind?!.

If I were Zitto, I'll keep quite!, sitaandika chochote to do with escrow report on anything, be it, social forums, or any media query zaidi ya kusema subirini maoni ya PAC ili siku maoni ya PAC yakitoka, yatoke with "a Big Bang!", hizi pre emptive moves zina dilute makali ya ripoti yake!. Kama bunge lilivyotaka kuicharukia mahakama kuingilia uhuru wake, wakati kuikweli hakuna hatua zozote za mahakama kuingilia uhuru wa Bunge, vivyo hivyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, hawezi kuweka "pre emptive moves za process ya kumvua jaji ujaji, based on hearsay, wakati ripoti yenyewe haijawekwa mezani na tuhuma za gross miss conduct kuwa proved beyond resobale doubt!, kumbukeni, kupewa fedha na Rugemalila sio kosa la jinai!, "it is not criminal!", ila sababu ya kupewa fedha hizo, ndio inaweza kuleta "crimes against morality!", hivyo kufanya mahojiana kuonyesha criminal intent wakati ripoti bado ni siri!, it is uncalled for!.

Ushauri wangu kwa Mhe. Zitto, at the moment, just jinyamazie chime kabisa!, hiyo ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwako kama mwenyekiti wa PAC na sio kama Zitto Kabwe, hupaswi kusema chochote kwa sasa kwa sababu hata contents za ripoti yenyewe bado ziko supposed to be confidential, hivyo sio public document hadi zitakapowasilishwa rasmi mezani kwa spika!. The same applies to contents zozote za maoni ya PAC ni confidencial mpaka yawasilishwe mezani!, unapaswa kujitenganisha wewe kama Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na wewe kama Mwenyekiti wa PAC!, hivyo hata ukifatwa na waandishi kuulizwa details zozote za confidential matter, hupaswi to disclose at this moment.

Mimi ni mmoja wa washauri wa kujitolea, ambaye nimeisha toa ushauri mbalimbali kwa vyama, wanasiasa na hata watu wa kawaida, na hizi ni baadhi tuu ya ushauri zangu!.

[h=3]CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga! [/h][h=3]Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!. [/h][h=3]Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...[/h]Ila pia Mhe. Zitto, nimeisha mshauri sana humu, [h=3]Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm![/h][h=3]Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!. [/h][h=3]Zitto Si Mzalendo wa kweli!, Baada ya kumsikiliza, Nimebaini Haya!.[/h]
Uzuri wa ushauri wa bure, ni unconditional, mshauriwa yuko at full liberty to take it or leave it!.

Jumapili Njema.

Pasco.
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,995
1,500
Pasco, acha unafiki wa kumziba mdomo Zitto wakati wewe unakesha JF kuwaliwaza wezi eti hawajafanya kosa lolote. Wewe una mandate gani kutuambia kuwa hakuna aliyefanya kosa kuanzia BOT, Tibaijuka hadi Rugemarila base yako ni nini.

Kwa wasiokujua wanaweza kufikiri unaushauri mzuri kuhusu ESCROW a/c kumbe umejificha kwenye chaka lile lile la wanafiki na wezi, kwa kutaka wasiumbuliwe mapema ili mpate chance ya kuchakachua kama mlivyochakachua katiba.

Zitto amesema suala hili sio wizi wa kawaida ni money laundering kwa hiyo kufukuzwa kazi tu hakutoshi bali wafilisiwe, wewe ulitaka aseme ni wizi wa kawaida,

kwanza wasiwasi wako ni nini?
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,313
2,000
So sad that your advice come but late... yamebaki masaa Kumi na sita kabla ya kila kitu kuwa hewani..wa kupoteza wapoteza wa kupata wapate.... politics is just a business.
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,298
2,000
Kwa mfano angesema "Endapo watuhumiwa watabainika kuwa na makosa....basi wafilisiwe au tutapendekeza utaratibu wa kumuondolea ujaji Mh mwanasheria mkuu"......kungekuwa na makosa bado?
 
magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,123
2,000
Mkuu Pasco salaam..! Mara nyingi huwa sipendi kusema chochote kwenye thread zako,huwa nasoma tu na kupita hasa hapa ktk jukwaa la siasa. Kwenye forums zingine napenda sana thread zako au hata maoni yako. Kuhusu hili,pamoja na kuonyesha upo upande wa wezi,lkn nakuunga miguu 100% issue hii si ya @Zito ni ya mwenyekiti wa PAC kuanza kusema hatua za kuchukua kabla report haijasomwa tena kwa kutaja mtu na cheo chake,siyo cha kupongezwa hata kidogo! Report yenyewe atakuwa anainyima uhondo. Tatizo la zito ni mpenda sifa. Kwa hili tupo wote Mkuu.
 
Last edited by a moderator:

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
Wanabodi,

Naomba kukiri kuwa nimekuwa inspired kupandisha thread hii, kufuation thread ya Mkuu Kakke
Kwa maoni yangu, this interview should never have happened!, hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote la Mhe. Zitto, impulsiveness driven ya self esteem na egotistic desires!.

Kwa sasa Mhe. Zitto ndie "the center of attention!", macho ya Watanzaia wote yako kwake!, macho ya Bunge zima yako kwake!, Macho ya Jumuiya ya Kimataifa yako kwake!, Macho ya nchi wafadhili, yako kwako!, macho ya dunia nzima wenye interest na Tanzania, yako kwake!, why he had to pre empty such a big thing kwenye gazeti?!, why?, what is his motive behind?!.

If I were Zitto, I'll keep quite!, sitaandika chochote to do with escrow report on anything, be it, social forums, or any media query zaidi ya kusema subirini maoni ya PAC ili siku maoni ya PAC yakitoka, yatoke with "a Big Bang!", hizi pre emptive moves zina dilute makali ya ripoti yake!. Kama bunge lilivyotaka kuicharukia mahakama kuingilia uhuru wake, wakati kuikweli hakuna hatua zozote za mahakama kuingilia uhuru wa Bunge, vivyo hivyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, hawezi kuweka "pre emptive moves za process ya kumvua jaji ujaji, based on hearsay, wakati ripoti yenyewe haijawekwa mezani na tuhuma za gross miss conduct kuwa proved beyond resobale doubt!, kumbukeni, kupewa fedha na Rugemalila sio kosa la jinai!, "it is not criminal!", ila sababu ya kupewa fedha hizo, ndio inaweza kuleta "crimes against morality!", hivyo kufanya mahojiana kuonyesha criminal intent wakati ripoti bado ni siri!, it is uncalled for!.

Ushauri wangu kwa Mhe. Zitto, at the moment, just jinyamazie chime kabisa!, hiyo ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwako kama mwenyekiti wa PAC na sio kama Zitto Kabwe, hupaswi kusema chochote kwa sasa kwa sababu hata contents za ripoti yenyewe bado ziko supposed to be confidential, hivyo sio public document hadi zitakapowasilishwa rasmi mezani kwa spika!. The same applies to contents zozote za maoni ya PAC ni confidencial mpaka yawasilishwe mezani!, unapaswa kujitenganisha wewe kama Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na wewe kama Mwenyekiti wa PAC!, hivyo hata ukifatwa na waandishi kuulizwa details zozote za confidential matter, hupaswi to disclose at this moment.

Mimi ni mmoja wa washauri wa kujitolea, ambaye nimeisha toa ushauri mbalimbali kwa vyama, wanasiasa na hata watu wa kawaida, na hizi ni baadhi tuu ya ushauri zangu!.

[h=3]CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga! [/h][h=3]Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!. [/h][h=3]Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...[/h]Ila pia Mhe. Zitto, nimeisha mshauri sana humu, [h=3]Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm![/h][h=3]Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!. [/h][h=3]Zitto Si Mzalendo wa kweli!, Baada ya kumsikiliza, Nimebaini Haya!.[/h]
Uzuri wa ushauri wa bure, ni unconditional, mshauriwa yuko at full liberty to take it or leave it!.

Jumapili Njema.

Pasco.
You're a devious devil.That's all I can say about you Pasco.
 
TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,306
2,000
watanzania tubadilike , tuache tabia ya kukaa kimya culture of silence huku tukiungua na kuteketea! hii ndio sababu ya umaskini wetu kufumbia macho wezi na kuogopa kuwaumbua wakati tunakufa na njaa na magonjwa na rasilimali wanakula wachache! ndugu yangu kama wewe umeshiba wengine wanalala njaa na wanataka wezi wasemwe na washughulikiwe! Zitto Kabwe yuko sahihi kuupasha umma nini kinaendelea kuhusu Escrow kwa maana walioibiwa ni wanachi wanaolala na njaa na kuteswa na magonjwa na wana haki ya kujua sakata la Escrow limefikia wapi na hatua zinazofuata ni zipi! Zitto Kabwe uko sahihi na endelea kuwasha moto hadi mbivu na mbichi zijulikane na endelea kusema yote bila uoga manake Mungu ndie mlinzi wako na usisikilize wanaokunyamazisha! Go go go Zitto!
You said it all Mary!Thanks
 
IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,064
2,000
Pasco wewe nahisi wewe ni mmoja kati ya wafaidika wa ufisadi wa nchi hii maana inaonekana hii ishu ya escrow inakuumiza sana. Pole mkuu ni muda wa wanyonge wa nchi hii kusimamia rasilimali za nchi yao
 
Last edited by a moderator:

Munabusule

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
977
250
Wanabodi,

Naomba kukiri kuwa nimekuwa inspired kupandisha thread hii, kufuation thread ya Mkuu Kakke
Kwa maoni yangu, this interview should never have happened!, hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote la Mhe. Zitto, impulsiveness driven ya self esteem na egotistic desires!.

Kwa sasa Mhe. Zitto ndie "the center of attention!", macho ya Watanzaia wote yako kwake!, macho ya Bunge zima yako kwake!, Macho ya Jumuiya ya Kimataifa yako kwake!, Macho ya nchi wafadhili, yako kwako!, macho ya dunia nzima wenye interest na Tanzania, yako kwake!, why he had to pre empty such a big thing kwenye gazeti?!, why?, what is his motive behind?!.

If I were Zitto, I'll keep quite!, sitaandika chochote to do with escrow report on anything, be it, social forums, or any media query zaidi ya kusema subirini maoni ya PAC ili siku maoni ya PAC yakitoka, yatoke with "a Big Bang!", hizi pre emptive moves zina dilute makali ya ripoti yake!. Kama bunge lilivyotaka kuicharukia mahakama kuingilia uhuru wake, wakati kuikweli hakuna hatua zozote za mahakama kuingilia uhuru wa Bunge, vivyo hivyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, hawezi kuweka "pre emptive moves za process ya kumvua jaji ujaji, based on hearsay, wakati ripoti yenyewe haijawekwa mezani na tuhuma za gross miss conduct kuwa proved beyond resobale doubt!, kumbukeni, kupewa fedha na Rugemalila sio kosa la jinai!, "it is not criminal!", ila sababu ya kupewa fedha hizo, ndio inaweza kuleta "crimes against morality!", hivyo kufanya mahojiana kuonyesha criminal intent wakati ripoti bado ni siri!, it is uncalled for!.

Ushauri wangu kwa Mhe. Zitto, at the moment, just jinyamazie chime kabisa!, hiyo ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwako kama mwenyekiti wa PAC na sio kama Zitto Kabwe, hupaswi kusema chochote kwa sasa kwa sababu hata contents za ripoti yenyewe bado ziko supposed to be confidential, hivyo sio public document hadi zitakapowasilishwa rasmi mezani kwa spika!. The same applies to contents zozote za maoni ya PAC ni confidencial mpaka yawasilishwe mezani!, unapaswa kujitenganisha wewe kama Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na wewe kama Mwenyekiti wa PAC!, hivyo hata ukifatwa na waandishi kuulizwa details zozote za confidential matter, hupaswi to disclose at this moment.

Mimi ni mmoja wa washauri wa kujitolea, ambaye nimeisha toa ushauri mbalimbali kwa vyama, wanasiasa na hata watu wa kawaida, na hizi ni baadhi tuu ya ushauri zangu!.

CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!

Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!.

Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...

Ila pia Mhe. Zitto, nimeisha mshauri sana humu, Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!

Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

Zitto Si Mzalendo wa kweli!, Baada ya kumsikiliza, Nimebaini Haya!.

Uzuri wa ushauri wa bure, ni unconditional, mshauriwa yuko at full liberty to take it or leave it!.

Jumapili Njema.

Pasco.
Pasco naikubali ana na wewe kabisa.Professionally and ethically.
Ndiyo maana tunaelelzwa siku zote kuwa audit reports / investigation report should always be strictly treated as confidential.
ndiyo maana auditor ktk best practice reports to audit committee/ board of directors in case of internal audit and to shareholders in case of external audits.
Before it is tabled to users it should strictly remain confidential.Zitto kama has aired out some of proposed decisions then ni tatizo kubwa.
kaka mkubwa pasco na kumbuka Mgambo Jkt hasa gendagenda miaka ileeeeeeeee
 
Ndusty

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
403
250
Mkuu Pasco,respect..nakuunga mkono kwa ushauri wako kwa Mh Zitto.Zitto akiwa kama mwenyekiti wa PAC hakutakiwa kabisa kuanza kuhukumu baadhi ya watu kabla ya kutoa ripoti kamili.hawezi kumwongelea werema kabla ya ripoti kamili kutoka.watanzania wanajua si werema tu aliyehusika kwenye issue ya escrow.hakuna haja ya zitto kuanza kumnanga werema kabla ya kuwasilisha ripoti kamili.akae kimya mpaka kamati yake itakapo wasilisha rasmi ripoti kamili.otherwise naona kama zitto anajaribu kumsacrifice au kumbebesha lawama zote werema ili wahusika wengine wapate free pass.pia kama mkuu pasco alivyosema,kwenye hii issue ya escrow zitto anahusika akiwa kama mwenyekiti wa PAC na sio zitto as an individual.be blessed!
 
win8

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
926
250
mwacheni bana alete vitu vyote hadharani tumjuwe wa kumshika mapema si mnasikia uko page kadhaa zimeanza kunyofolewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom