Ushauri wa bure kwa Mbunge Musukuma(CCM)

Chadema madai yao ni kwamba Jeshi la Polisi ni la CCM ndiyo maana wanaliita, sana sana humu, PoliCCM...uwaambie hilo kuhusu Polisi.

Pili chadema wanadai hawana imani na Serikali...unawashauri nini?
Anzisha uzi wako kuwahusu CHADEMA.
 
Ingawa nipo safarini kuelekea Arusha katika Mkutano wa nusu mwaka wa TLS,nimewiwa kumshauri jambo Mbunge wa Geita Vijijini,Ndugu Joseph Kasheku 'Msukuma'. Ushauri wangu unafuatia kadhia iliyompata ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kuhujumu miundombinu ya maji

Ndugu Msukuma amekuwa na juhudi za kumsema na 'kumtisha' Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Geita,kabla na baada ya kukamatwa kwake. Amekuwa akimzungumzia RPC wa Geita kana kwamba ni raia wa kawaida anayeweza kumsema kisiasa atakavyo. Pia,Msukuma,kwa uelewa wangu,analenga 'kumchongea' RPC wa Geita kwa wateule wake.

Nataka kumpa taarifa Msukuma,na kumshauri. Kwanza,polisi si raia. Polisi hawana chama. Polisi ni chombo cha dola;chombo cha Serikali na wananchi kwa ujumla. Polisi wanapaswa kuheshimiwa kwakuwa wanafanya kazi kubwa kwa ulinzi wetu na ulinzi wa mali zetu. Msukuma anapaswa kuwaheshimu polisi na kuwaweka mbali na mikwara yake ya kisiasa.

Serikali ni yetu sote. CCM si watanzania wote na hivyo Msukuma asitambie. Kwakuwa tayari jambo lake liko mahakamani,anapaswa kunyamaza kimya na kushughulika na jambo lake. Kumsema na kumtisha RPC hakutamsaidia. Anaowategemea wamsaidie kichama wako kimya kwakuwa wameona kuwa Msukuma hana hoja!
Hilo limping ilia Sikorsky la Julia an kutokea Sikkim la Kushiro, elements ,elimu,elimu
 
Huyo Msukuma mpenda kiki tu hanaga hoja za maana, mara chache sana huongea hoja za mashiko.
 
Kwa utawala huu Mbunge Msukuma hajakose hata kidogo.

Kwanza serikali imekuwa ikitumia muda mwingi kuwaambia wananchi kuwa kila kitu kinafanywa na CCM na kama huipendi CCM tupishe serikalini.

Pili serikali imekuwa ikiwaagiza wajumbe wa chama cha mapinduzi kukagua na kusimamia taasisi za serikali mf.. Hospital,Mashule na nk...

Hivyo kwa mwendo huo Ndugu kasheku a.k.a. Msukuma aliona yuko sawa na yuko sawa kwa kutekeleza hilo.
 
Ingawa nipo safarini kuelekea Arusha katika Mkutano wa nusu mwaka wa TLS,nimewiwa kumshauri jambo Mbunge wa Geita Vijijini,Ndugu Joseph Kasheku 'Msukuma'. Ushauri wangu unafuatia kadhia iliyompata ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kuhujumu miundombinu ya maji

Ndugu Msukuma amekuwa na juhudi za kumsema na 'kumtisha' Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Geita,kabla na baada ya kukamatwa kwake. Amekuwa akimzungumzia RPC wa Geita kana kwamba ni raia wa kawaida anayeweza kumsema kisiasa atakavyo. Pia,Msukuma,kwa uelewa wangu,analenga 'kumchongea' RPC wa Geita kwa wateule wake.

Nataka kumpa taarifa Msukuma,na kumshauri. Kwanza,polisi si raia. Polisi hawana chama. Polisi ni chombo cha dola;chombo cha Serikali na wananchi kwa ujumla. Polisi wanapaswa kuheshimiwa kwakuwa wanafanya kazi kubwa kwa ulinzi wetu na ulinzi wa mali zetu. Msukuma anapaswa kuwaheshimu polisi na kuwaweka mbali na mikwara yake ya kisiasa.

Serikali ni yetu sote. CCM si watanzania wote na hivyo Msukuma asitambie. Kwakuwa tayari jambo lake liko mahakamani,anapaswa kunyamaza kimya na kushughulika na jambo lake. Kumsema na kumtisha RPC hakutamsaidia. Anaowategemea wamsaidie kichama wako kimya kwakuwa wameona kuwa Msukuma hana hoja!
Msukuma kateleza. Aliyosema ni kumtisha polisi kama shahidi katika kesi ya jinai, ni kosa la kudharau Mahakama anaweza akafungwa.
 
Ingawa nipo safarini kuelekea Arusha katika Mkutano wa nusu mwaka wa TLS,nimewiwa kumshauri jambo Mbunge wa Geita Vijijini,Ndugu Joseph Kasheku 'Msukuma'. Ushauri wangu unafuatia kadhia iliyompata ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kuhujumu miundombinu ya maji

Ndugu Msukuma amekuwa na juhudi za kumsema na 'kumtisha' Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Geita,kabla na baada ya kukamatwa kwake. Amekuwa akimzungumzia RPC wa Geita kana kwamba ni raia wa kawaida anayeweza kumsema kisiasa atakavyo. Pia,Msukuma,kwa uelewa wangu,analenga 'kumchongea' RPC wa Geita kwa wateule wake.

Nataka kumpa taarifa Msukuma,na kumshauri. Kwanza,polisi si raia. Polisi hawana chama. Polisi ni chombo cha dola;chombo cha Serikali na wananchi kwa ujumla. Polisi wanapaswa kuheshimiwa kwakuwa wanafanya kazi kubwa kwa ulinzi wetu na ulinzi wa mali zetu. Msukuma anapaswa kuwaheshimu polisi na kuwaweka mbali na mikwara yake ya kisiasa.

Serikali ni yetu sote. CCM si watanzania wote na hivyo Msukuma asitambie. Kwakuwa tayari jambo lake liko mahakamani,anapaswa kunyamaza kimya na kushughulika na jambo lake. Kumsema na kumtisha RPC hakutamsaidia. Anaowategemea wamsaidie kichama wako kimya kwakuwa wameona kuwa Msukuma hana hoja!
Umesema uongo! Polisi ni raia....yaani ni RAIA WAKAKAMAVU!
 
Mh Msukuma welewa wake ni finyu sana, eti mwenyekiti wa ccm mkoa !!!!! hana Busara kabisa.
 
Ingawa nipo safarini kuelekea Arusha katika Mkutano wa nusu mwaka wa TLS,nimewiwa kumshauri jambo Mbunge wa Geita Vijijini,Ndugu Joseph Kasheku 'Msukuma'. Ushauri wangu unafuatia kadhia iliyompata ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kuhujumu miundombinu ya maji

Ndugu Msukuma amekuwa na juhudi za kumsema na 'kumtisha' Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Geita,kabla na baada ya kukamatwa kwake. Amekuwa akimzungumzia RPC wa Geita kana kwamba ni raia wa kawaida anayeweza kumsema kisiasa atakavyo. Pia,Msukuma,kwa uelewa wangu,analenga 'kumchongea' RPC wa Geita kwa wateule wake.

Nataka kumpa taarifa Msukuma,na kumshauri. Kwanza,polisi si raia. Polisi hawana chama. Polisi ni chombo cha dola;chombo cha Serikali na wananchi kwa ujumla. Polisi wanapaswa kuheshimiwa kwakuwa wanafanya kazi kubwa kwa ulinzi wetu na ulinzi wa mali zetu. Msukuma anapaswa kuwaheshimu polisi na kuwaweka mbali na mikwara yake ya kisiasa.

Serikali ni yetu sote. CCM si watanzania wote na hivyo Msukuma asitambie. Kwakuwa tayari jambo lake liko mahakamani,anapaswa kunyamaza kimya na kushughulika na jambo lake. Kumsema na kumtisha RPC hakutamsaidia. Anaowategemea wamsaidie kichama wako kimya kwakuwa wameona kuwa Msukuma hana hoja!
Wanatulinda raia kama walivyomlinda tundu Lisa. Polisi ni raia wa Tanzania kama sisi ukisema sio raia tutakushangaa. Halafu Safari yako inahusiana nini na Mada
 
Mbele ya Mungu nadhani tupo sawa. Ukichukulia kisiasa hatupo sawa si na Magufuli tu hata na Mbowe na hata mgonjwa wetu Lissu hayuko sawa na mimi. Lakini mbele ya Mungu wote ni sawa
Usitaje bure jina la MUNGU wako
 
Musukuma anadhani tumesahau alivyoruka na chopa kwenda kumnadi EL, hakuwa kambi ya JPM huyu alikuwa mchana ccm usiku cdm. Hilo darasa la saba analojidharau nalo ndo linamfanya asione mbali. Eti RPC mtu mdogo hajui jeshi huyu.
Rpc ni mdogo sana kwa mwanasiasa. Hata igp anampigia saluti ka DC
 
Msukuma upeo na uelewa wake ni mdogo sana. Hilo jimbo analoliwakilisha ni afadhali lisingekuwa na mbunge. Anachokijua ni kuzungusha maneno ambayo hayana hata mantiki.
 
Ingawa nipo safarini kuelekea Arusha katika Mkutano wa nusu mwaka wa TLS,nimewiwa kumshauri jambo Mbunge wa Geita Vijijini,Ndugu Joseph Kasheku 'Msukuma'. Ushauri wangu unafuatia kadhia iliyompata ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kuhujumu miundombinu ya maji

Ndugu Msukuma amekuwa na juhudi za kumsema na 'kumtisha' Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Geita,kabla na baada ya kukamatwa kwake. Amekuwa akimzungumzia RPC wa Geita kana kwamba ni raia wa kawaida anayeweza kumsema kisiasa atakavyo. Pia,Msukuma,kwa uelewa wangu,analenga 'kumchongea' RPC wa Geita kwa wateule wake.

Nataka kumpa taarifa Msukuma,na kumshauri. Kwanza,polisi si raia. Polisi hawana chama. Polisi ni chombo cha dola;chombo cha Serikali na wananchi kwa ujumla. Polisi wanapaswa kuheshimiwa kwakuwa wanafanya kazi kubwa kwa ulinzi wetu na ulinzi wa mali zetu. Msukuma anapaswa kuwaheshimu polisi na kuwaweka mbali na mikwara yake ya kisiasa.

Serikali ni yetu sote. CCM si watanzania wote na hivyo Msukuma asitambie. Kwakuwa tayari jambo lake liko mahakamani,anapaswa kunyamaza kimya na kushughulika na jambo lake. Kumsema na kumtisha RPC hakutamsaidia. Anaowategemea wamsaidie kichama wako kimya kwakuwa wameona kuwa Msukuma hana hoja!
Huna lolote la maana, wewe ni Chadema
 
Serikali na polisi wenyewe wamewadekeza sana wanaCCM na kuona kwamba hakuna mtu au chombo chochote cha kumsumbua mwanaCCM. Yaani CCM na watu wake huona polisi ni kama tawi la CCM na ndio maana mwanaCCM anaweza kumuagiza RPC akamshughulikie Lema na kweli anaenda kufanya hivyo. Wangajitenga na kufanya kazi kwa misingi ya kipolisi msukuma hangekuwa na ujasiri wa kutoa kauli kama hizo. Mbona hawatoi kauli kama hizo kwa JWTZ? Ni kwa sababu JWTZ kwa sehemu kubwa imejitenga na siasa uchwara kama hizi tunazozishuhudia.
Ni kweli broo
 
Back
Top Bottom