Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,163
- 48,425
- Thread starter
- #21
Waziri Mkuu ajaye!
Hii sasa kwangu ni habari Mpya!
Waziri Mkuu ajaye!
Tena ni tatizo kubwa sana !Na hilo ndiyo tatizo la jamii yetu Kwa Sasa.
Ni moja kati ya watu wa hovyo waliopoDavid Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Yani alipe watu wanaotumia huu mtandao ili iweje?Anapambana sana kutunza nafasi yake kwa kumplease mama, kumbuka alipewa uRC baada ya kuachwa na mke, alipopoteza uRC probably alijiwekea nadhiri akikumbukwa tena atamwaga mashairi deile ili aendelee kuwa relevant, so tangu kapewa ile PPP ni kuchonga kwenda mbele na hapa JF analipa chawa wa kutosha ujue! Wanasema kbs ni mlipaji mzuri sana, hakopi
Huku kwetu watu wanaamini kwamba Siasa maana yake ni Uongo uongo unaofanana na Ukweli 😳🙌 !Anajaribu kuwa relavant mzee.
Inadhani asipomantain hiyo status atakula wapi?
Kuna ile kanuni ya wingi na ubora (Quantity & Quality) wewe umeamua kutumia wingi badala ya ubora kufanya hitimisho lako!Yani alipe watu wanaotumia huu mtandao ili iweje?
Yani alipe watu wanaotumia huu mtandao ili iweje?
Mtandao mtaani kwangu kote huenda naujua mimi tu ndo alipe ma anonymous ili wa waambie nini ma anonymous
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hoja zake ni zipi na zako wewe za kumpundua ni zipi?!!!!David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Kuna mahali nimeandika wananchi wote? Sina huo uwendawazimu wa kudhani watanzania wote wana huo uwezo lakini angalau 90% ya watanzania wanatakiwa wawe na hakika ya maisha bora.Kuna kipindi chochote au nchi yoyote unayoijua ambayo wananchi wake wote Wana uwezo wa kulipa ada na kujihudumia matibabu mazuri?!!!
Chief hata kama nina ufahamu mdogo ila hili haliniingii akilini yani watu wa humu walipwe kueneza propaganda kwa ajili ya audience kama mimi au? 😂😂Unaruhusiwa na wala huvunji sheria kuamini unachoamini na hulazimishwi kuchukua kila unachosoma humu! Ndio uhuru wenyewe
Unamkumbuka Kafulila wa miaka 10 iliyopita???Matendo yake ni kama vile mtu umechomwa na mwiba halafu mtu mwingine ndiye ajipe haki ya kutafsiri kiwango cha maumivu unayopitia.
Watu kila siku umaskini wao unawaongezekea yeye yupo bize kusema maisha ni mazuri kuliko miaka iliyopita.
Bora angekuwa anajibu wananchi sababu ya kushindwa kuwa na viwanda nchini vya chuma wakati madini hayo tunanayo na nishati ya makaa ya Mawe pia tunayo.yeye amekazana kusema uchumi himilivu kwenye karatasiDavid Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.
Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.
Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.
Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.
Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.
Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.
Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.
Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Uchumi himilivu Kwa daraja/kiwango kipi?Bora angekuwa anajibu wananchi sababu ya kushindwa kuwa na viwanda nchini vya chuma wakati madini hayo tunanayo na nishati ya makaa ya Mawe pia tunayo.yeye amekazana kusema uchumi himilivu kwenye karatasi