Ushauri wa bure Kwa kafulila!!

Ushauri wa bure Kwa kafulila!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,369
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
 
Anapambana sana kutunza nafasi yake kwa kumplease mama, kumbuka alipewa uRC baada ya kuachwa na mke, alipopoteza uRC probably alijiwekea nadhiri akikumbukwa tena atamwaga mashairi deile ili aendelee kuwa relevant, so tangu kapewa ile PPP ni kuchonga kwenda mbele na hapa JF analipa chawa wa kutosha ujue! Wanasema kbs ni mlipaji mzuri sana, hakopi
 
Kafulia amekubalia kuweka Professional yake pembeni amekuwa chawa. Shame on him a thousand miles and back.
Halafu anaongea kwa kiburi kuonesha kuwa wanaosema uchumi ni mbaya hawajui kitu.

Halafu Kila siku anakuwa kinyonga. Leo atasema tusitumie nchi nyingine kupima uchumi wa Tanzania, siku nyingine anaibuka na nadharia Kwa kutumia mifano ya nchi zingine kupima uchumi wa Tanzania.
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Kila mtu kwa sasa anajua na anaamini kwamba UCHAWA UNALIPA SANA 😳 !
So that’s the case Mazee 🙌👍 !
 
ni muhimu zaidi kuongeza juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe,

huna haja kulamikia wataalamu wa uchumi wanapoeleza ukweli gentleman 🐒
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Kafuli hajaridhika na kicheo alicho nacho.

Anataka kicheo kikubwa zaidi kwenye chama au serikali.

Ni kijamaa fulani, njaa kaliiiiii, tamaa kaliiiiii.

Magufuli alikipa nafasi ya RAS ila kikaacha, kikaenda kugombea ubunge.

Kimewahi kupewa RAS ila hakiridhiki.

Njaaaa inasumbua
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Tubiri kajitoa ubongo
 
Anapambana sana kutunza nafasi yake kwa kumplease mama, kumbuka alipewa uRC baada ya kuachwa na mke, alipopoteza uRC probably alijiwekea nadhiri akikumbukwa tena atamwaga mashairi deile ili aendelee kuwa relevant, so tangu kapewa ile PPP ni kuchonga kwenda mbele na hapa JF analipa chawa wa kutosha ujue! Wanasema kbs mlipaji mzuri sana
Hata mimi hili la kuwalipa machawa humu wamuanzishie nyuzi za kumpamba humu nilishtukia kitambo.
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Anajaribu kuwa relavant mzee.
Inadhani asipomantain hiyo status atakula wapi?
 
Hata mimi hili la kuwalipa machawa humu wamuanzishie nyuzi za kumpamba humu nilishtukia kitambo.
Ana account tatu humu. Hata zikikaa miezi mitatu zikirudi ni zile zile na habari zile zile.

Alipokuwa Mkoa wa Simiyu post zote zilikuwa zinahusu Simiyu.

Inawezekana moja anaendesha mwenyewe na zile mbili zingine za machawa wake.

Bongo kuishi ujanja.
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Huyo ni Dalali/middle man/3rd part wa resource zetu.
 
Matendo yake ni kama vile mtu umechomwa na mwiba halafu mtu mwingine ndiye ajipe haki ya kutafsiri kiwango cha maumivu unayopitia.

Watu kila siku umaskini wao unawaongezekea yeye yupo bize kusema maisha ni mazuri kuliko miaka iliyopita.
 
David Kafulila a.k.a "Tumbiri" amejipa jukumu la kuwa msemaji wa watawala kuonesha kuwa uchumi wa Tanzania upo Imara na himilivu kuliko hata wale wenye jukumu Hilo.

Kafulila anaongea sana kuhusu Hali ya uchumi wa Tanzania kuliko hata Waziri wa fedha au Gavana wa Benki Kuu ambao ndiyo wenye wajibu huo.

Ushauri wangu kwake ni kwamba siyo kweli kuwa watanzania wanalalamika uchumi wao mbaya kwa sababu hawajui nadharia za uchumi.

Mtanzania anayeshindwa kulipa ada ya shule kwa mtoto wake, anaposhindwa kulipa bili za matibabu yake, anapokosa uwezo wa kununua chakula na kadhalika, huo kwake ni uhalisia wala siyo hisia anazojenga kwa kuwa hajui nadharia za kiuchumi.

Kafulila ajue tu kuwa nadharia zote za kiuchumi ni tafsiri tu ya binadamu kuhusu maisha na zenyewe siyo zinazojenga maisha.

Nadharia za kiuchumi zimewekwa angalau kujaribu kupunguza minyukano ya binadamu kwenye kujipatia mahitaji yao dhidi ya rasirimali zilizopo.

Kwa ivo watanzania wanaposema uchumi wao ni mbaya hawazushi bali ndiyo uhalisia wa maisha yao.

Labda yeye hana utofauti na yule malkia aliyesema "kama hawana mikate si wale keki?".
Kafulila a.k.a Tumbili, oyeee!
Waziri Mkuu ajaye!
 
Back
Top Bottom