Ushauri wa Bure kwa Director Modestus Francis Kipilimba

Yani mi Raisi namkubali ila hii idea ya watu kujiuzulu na hakemei inamshushia credibility kabisa na itamfanya record yake huko mbeleni ije kuwa fedheha aisee, sioni huo umuhimu sijui rudia uchaguzi niunge mkono washauri hawampi ukweli hyo kitu imempunguzia heshima yake.
.
Wanataka ule utabiri wao ya kwamba upinzani utakufa utimie...
 
Upinzani upo moyoni mwa watu na sio hii hama hama hii kitu inakera wengi bila kujali itikadi, hafu duniani hata ukifanya maendeleo makubwa vipi wapingaji hawakosekani au wakosoaji, pia wengi hawajui kazi ya vyama vya siasa kwa nchi. Bora Ku focus kwenye maendeleo na siyo hyo kitu ya kujiuzulu wala Mungu mwenyewe alipata upinzani kwa malaika wake aliyemuumba sembuse sisi tusitofautiane.
 
Bado tuu sijaelewa kwa Karne hii tunazikaje watu bila kuwatambua (Mv Nyerere)
Hivi hamna hata technolojia ndogo ya utambuzi jamani?
That’s sad
Mkuu walichukua DNA kwa kila maiti kabla ya kuzikwa. Naona taarifa hii ilikupita labda ulikuwa bar unakunywa kimpumu pole mkuu!
 
You made your posting unnecessarily too long; but I can understand the passion burning inside you!

Nimeona hoja nyingi tu nzuri ndani ya bandiko lako hili,; lakini sijui kama hata 'interns' wa hao wakubwa watakuwa na stamina ya kulisoma na kufanya mhitasari wa kuwafikishia wakubwa wao.

Toka 1997 wakati dira ya Taifa inazinduliwa na toka JPM atangaze namna ya kukuza uchumi kupitia sekta ya viwanda, sisi kama Taifa je kuna mkakati wa pamoja wa kiuchumi (strategic economic inclusion)?
"----sisi kama Taifa je kuna mkakati wa pamoja wa kiuchumi (strategic economic inclusion)?"
Hili ni swali umeuliza, na bila shaka tupo wengi tu ambao hatufahamu jibu lake ndani ya Taifa hili. Je, ni mhimu wananchi tukajua?, 'at least' wale wanaotaka kujua! Waziri wa Viwanda anao uelewa mzuri wa mkakati huu?

Je tuna model ya kiuchumi/model za kiuchumi ili kutimiza malengo ya kupata output kubwa katika kufikia uchumi wa kati kupitia viwanda?
Sisi hatuwezi kwenda kuvumbua 'gurudumu' upya, je, tunajua na kutambua aina nzuri ya magurudumu waliyotumia waliofanikiwa nasi tukajitahidi kuyatumia, hata kama ni kwa kurekebisha kidogo yaendane na ubovu wa barabara zetu?
Je tunaweza kuwaangalia nchi kama Korea ya Kusini na kuchambua walifanya nini na kuokoteza humo yanayotufaa? Taiwan, Vietnam, na wengine wanaoonekana kufanikiwa kuendeleza nchi zao.

Lakini katika hayo yote, acha nami nidandie kwenye bandiko lako hili kutoa yaliyo moyoni kuhusu mstakabali wa kuleta mageuzi ndani ya nchi yetu:
Tumo kwenye harakati za kuleta mabadiliko kupitia njia ya viwanda.
1. Ni nani anayejenga viwanda hivi? wawekezaji binafsi (wa nje na ndani); serikali; ushirikiano wa serikali na binafsi? Je, serikali imejiandaa vipi kuhakikisha hivi viwanda vitaleta mageuzi ya kweli, endelevu na ya kudumu? Raslimali yetu muhimu (watu) wame/naandaliwa kuhakikisha tunafaidika zaidi ya kupata bidhaa pekee za viwanda hivyo? (skills, technology) n.k.

2. Hatuwezi kuwa na mkakati wa kuwa na viwanda vya kutengeneza kila takataka (sizungumzii uwekezaji binafsi). Je, serikali inajua 'competitive advantage' yetu ni katika viwanda vya aina gani? Sasa hivi tunasukumiza tu madini yetu, hata yale 'strategic' kabisa, yanasombwa na kwenda kuwekwa kwenye bohari za wakubwa (stokepile) wanaojua umuhimu wa madini kama hayo.
Pamoja na kelele nyingi kuhusu ubovu wa elimu yetu na utendaji wa wataalam tulio nao; mimi siamini kamwe kuwa hatuna ujuzi wa kutosha ndani ya nchi hii kuanza kujipanga na kuendeleza malighafi hizi alizotujalia Mwenyezi Mungu ndani ya nchi yetu. Wataalam wapo, ni serikali tu ndio haina moyo na msukumo wa kuwafanya hawa wataalam watumie elimu yao ipasavyo.

Yapo mengi. Ngoja niishie hapa.
 
Idara ya usalama wa Taifa yafaa irudie zile mbinu za Nyerere ambapo wana usalama wengi hawakuwa wakijulikana bali wao kwa wao ikuwa ni vigumu kumtambua afisa usalama wa Taifa ambapo ilisaidia kupata taarifa kirahisi kutoka vyanzo mbalimbali mitaani na maofisini, lakini siku hizi wengi wanapenda sifa wanajitambulisha kila kona matokeo yake watu hawezi kuwapa taarifa kwa wepesi
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu Fredm asante kwa hii kitu, umemwaga nondo za kufa mtu, la nyuzi za hivi, huwa hazichangiwi sana, ila ukiweka thread ya Daimond Platnum, michango tele!.

Kiukweli Tanzania tuna matatizo from top to bottom, left, right and center!.
P.
Mkuu Paskali...
Mfalme Solom mmoja ya wanadamu wenye hekima kuwahi kutokea duniani alisema ... For by wise guidance you (as as Tanzanians) can wage your (our) war,
And in an abundance of [wise] counselors there is victory and safety...
If at all we can join forces to fight our common enemies who are
Ignorance,
Poverty
Diseases
Tungesogea sana.
Tanzania tuna kila rasimali kufika nchi ya uchumi wa kati
 
You made your posting unnecessarily too long; but I can understand the passion burning inside you!

Nimeona hoja nyingi tu nzuri ndani ya bandiko lako hili,; lakini sijui kama hata 'interns' wa hao wakubwa watakuwa na stamina ya kulisoma na kufanya mhitasari wa kuwafikishia wakubwa wao.

"----sisi kama Taifa je kuna mkakati wa pamoja wa kiuchumi (strategic economic inclusion)?"
Hili ni swali umeuliza, na bila shaka tupo wengi tu ambao hatufahamu jibu lake ndani ya Taifa hili. Je, ni mhimu wananchi tukajua?, 'at least' wale wanaotaka kujua! Waziri wa Viwanda anao uelewa mzuri wa mkakati huu?

Sisi hatuwezi kwenda kuvumbua 'gurudumu' upya, je, tunajua na kutambua aina nzuri ya magurudumu waliyotumia waliofanikiwa nasi tukajitahidi kuyatumia, hata kama ni kwa kurekebisha kidogo yaendane na ubovu wa barabara zetu?
Je tunaweza kuwaangalia nchi kama Korea ya Kusini na kuchambua walifanya nini na kuokoteza humo yanayotufaa? Taiwan, Vietnam, na wengine wanaoonekana kufanikiwa kuendeleza nchi zao.

Lakini katika hayo yote, acha nami nidandie kwenye bandiko lako hili kutoa yaliyo moyoni kuhusu mstakabali wa kuleta mageuzi ndani ya nchi yetu:
Tumo kwenye harakati za kuleta mabadiliko kupitia njia ya viwanda.
1. Ni nani anayejenga viwanda hivi? wawekezaji binafsi (wa nje na ndani); serikali; ushirikiano wa serikali na binafsi? Je, serikali imejiandaa vipi kuhakikisha hivi viwanda vitaleta mageuzi ya kweli, endelevu na ya kudumu? Raslimali yetu muhimu (watu) wame/naandaliwa kuhakikisha tunafaidika zaidi ya kupata bidhaa pekee za viwanda hivyo? (skills, technology) n.k.

2. Hatuwezi kuwa na mkakati wa kuwa na viwanda vya kutengeneza kila takataka (sizungumzii uwekezaji binafsi). Je, serikali inajua 'competitive advantage' yetu ni katika viwanda vya aina gani? Sasa hivi tunasukumiza tu madini yetu, hata yale 'strategic' kabisa, yanasombwa na kwenda kuwekwa kwenye bohari za wakubwa (stokepile) wanaojua umuhimu wa madini kama hayo.
Pamoja na kelele nyingi kuhusu ubovu wa elimu yetu na utendaji wa wataalam tulio nao; mimi siamini kamwe kuwa hatuna ujuzi wa kutosha ndani ya nchi hii kuanza kujipanga na kuendeleza malighafi hizi alizotujalia Mwenyezi Mungu ndani ya nchi yetu. Wataalam wapo, ni serikali tu ndio haina moyo na msukumo wa kuwafanya hawa wataalam watumie elimu yao ipasavyo.

Yapo mengi. Ngoja niishie hapa.

Tanzania ni nchi yetu. Tukisimama kwa pamoja kwa nia njema na kuwa na lengo la kukuza uchumi wetu based on our competive advantage tutafika.

Ila tukiendelea kuzodoana itathibitisha kilichosemwa "And if a kingdom be divided against itself, that kingdom cannot stand "
It is high time to join forces and wage war against our common enemies
 
" Very fortunate the boss you serve who is commander in chief is a TRUE VISIONARY , VERY BOLD COURAGEOUS LEADER WHO IS DECISIVE WITH AUDACITY to see we Tanzanian are navigating towards the promise land " , Kama hutajali unaweza kufafanua hapa ulimaanisha nini ? na kama haya uliyoyaandika hapa yanatoka moyoni kabisa na ni kweli unayamaanisha , kwa vigezo vipi ?

Tambua kwamba hapa JF kuhojiwa ni jambo la kawaida , kwahiyo usihofu .
Jamaa ana mbwe mbwe

Kama bata anayetaka kutaga
 
I like ur topic ume elaborate vzuri nchi yetu inahtaji economic intelligence, business intelligence ili tupige hatua rather than investing in dirty politics, nchi zilizoendelea zilijikita zaidi kwenye economic intelligence, ndo mana zimepiga hatua sie tukiona wachina wamezagaa dunia wale wamejikita kwenye intelligencia ya kunusa fursa, without economic intelligence no development hasa kwenye era hii ya globalization, we are weak wenzetu wanatusoma udhaifu wetu na kutumia loophole kutupiga mfano issue za madini na makinikia.
Bro...
We cannot take every one on-board. We just need dedicated and passionate individuals who are visionary, decisive and who have strategics eyes on how to gravitate towards our destination (uchumi wa kati).
 
Mkuu Fredm asante kwa hii kitu, umemwaga nondo za kufa mtu, la nyuzi za hivi, huwa hazichangiwi sana, ila ukiweka thread ya Daimond Platnum, michango tele!.

Kiukweli Tanzania tuna matatizo from top to bottom, left, right and center!.
P.
Hiyo top vipi, unajipenda?
 
I like ur topic ume elaborate vzuri nchi yetu inahtaji economic intelligence, business intelligence ili tupige hatua rather than investing in dirty politics, nchi zilizoendelea zilijikita zaidi kwenye economic intelligence, ndo mana zimepiga hatua sie tukiona wachina wamezagaa dunia wale wamejikita kwenye intelligencia ya kunusa fursa, without economic intelligence no development hasa kwenye era hii ya globalization, we are weak wenzetu wanatusoma udhaifu wetu na kutumia loophole kutupiga mfano issue za madini na makinikia.
Great mind. Na tutapigwa sana kama hatutaki kutumia akili.
 
Ushauri mzuri. Ukweli ni kwamba kila mwanadamu hakuja duniani kwa bahati mbaya isipokuwa ni kwa mpango wa Mungu. Na hivyo kila mwanadamu ana mchango katika kuleta maendeleo duniani na hasa katika eneo anamoishi. Together We Can
Mkuu nisaidie summary ya huo ushauri maana nitachelewa nikianza kusoma post yote ya kwanza ya uzi huu. Natangulisha shukrani.
 
Umenikumbusha Secondary kwenye kuandika Ese unapamba zile point na maelezo mengi ya kujaza hata karatasi 8 halafu mwisho wa siku unapata 6 ya 20.

Sijaelewa ulichoandika.

Hujaelewa kwa sababu hujasoma ipasavyo kusomwa!!

Soma kwa concetration ya kweli. Rudia tena na tena kusoma, mwisho Mungu atakusaidia kuelewa!!.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Bro...
We cannot take every one on-board. We just need dedicated and passionate individuals who are visionary, decisive and who have strategics eyes on how to gravitate towards our destination (uchumi wa kati).
I'm not bro.. Nakubaliana na wewe we need national strategic na iwe implemented bila kujali ni Raisi gani yuko madarakani na sio kila mmoja akiingia in power ana interest's zake that's why we are still lagging behind.

We need vision, plus strong institutions and implementations of our plans.
 
Back
Top Bottom