Ushauri wa bure kwa DC wa Kisarawe mrembo Jokate

Ushauri wa bure kwa DC wa Kisarawe mrembo Jokate

Ajiandae kupigwa kipapai
Kukurupuka ni kubaya. Unapoingia ofisi mpya tulia kwanza ujifunze tamaduni na mitizamo ya watu na ujipange namna ya kuanza vinginevyo utanyong'onyezwa kabla jogoo hajawika ujikute unaamka stand ya basi ukiwa uchi wa mnyama
 
Back
Top Bottom