ZeMarcopolo; unajua mke wa mwizi anamtetea mumuwe kwa kila jambo. wewe ni mke wa mwizi lazima umtetee mume wako, na sisi askari tukija kwako kumkamata mumeo hatutakuamni utakaposema kuwa mumeo hayupo, lazima tuvunje mlango na tumkurupue mumeo uvunguni. endelea kumtetea mumeo mwizi ila tutamkamata tu.