Ushauri wa bure kwa Chadema na wanaJF

Status
Not open for further replies.
Siku zote mkuki kwa nguruwe......hii thread imekuwa km ndo umewapaka mafuta ccm kwa mgongo wa chupa...............au ulimaanisha ccm?....pole sana kwa kuchanganya vyama kwani ulivyovitaja ndiyo sifa za ccm yako ya mafisadi
 
Zemarcopolo-Sokomoko + Zitto with Fake IDs angalia sana anaposti Zemarcopolo supporter ni Sokomoko akiposti Sokomoko supporter Zemarcopolo ,you not can fool us all the time,your mission will let you no where
 
2. Ni ukweli usiopingika kuwa Chadema haina wanasiasa bali wengi wao ni wana harakati wanaotoka kwenye asasi zisizo za kiserikali na ndio maana hawawezi kufikia maamuzi kupitia itifaki badala yake wanasikiliza kina JF wanasemaje. Mfano wa asasi zisizo za kiserikali ni kama TNGP ( Naomi Kaihula), Chama cha wanasheria wao simamia haki za wachimba madini, na viongozi wa mashirika ya dini mfano mbunge aliepingwa hivi juzi na monica mbega.

By the way, Tanzania hatuitaji tena wanasiasa, hao ndio wametufanya tuwe maskini hata baada ya miaka 50 ya uhuru, bora tuchape mwendo na hao wanaharakati wenye kiu ya mabadiliko.

Uko dunia gani wewe yenye kuendelea kuupenda upupu wa wanasiasa, nimefurahi sana uliposema kuwa CHADEMA haina wanasiasa kwakuwa mie kwangu politicians are the most useless and dangerous people in this country!

CHADEMA, kama kweli hamna wanasiasa kwenye timu yenu hiyo ni sifa nzuri sana kwasababu sisi watanzania hatuitaji tena mbwembwe za wanasiasa. Tunataka watu watakaopambana na umaskini, ujinga, maradhi na UFISADI.
 
Rejea katiba na ilani ya chama, acha uvivu!

katiba na ilani ni mtei kwa bahati mbaya mimi sina nasaba naye, hope atakuwa na binti mwingine nioe hapo nitakuwa naijua vizuri katiba na ilani.
 
Nia yenu tunaijua ni kuchafua jamvi ili lionekana lina wafuasi wa chama fulani halafu serikali ilifute si bure muna mission ya muda mrefu tunawajua lengo lenu mpaka sasa

Serikali haiwezi kulifuta jukwaa hili. Ila swala la jukwaa kuwa la wafuasi wa chadema liko obvious.
 
katiba na ilani ni mtei kwa bahati mbaya mimi sina nasaba naye, hope atakuwa na binti mwingine nioe hapo nitakuwa naijua vizuri katiba na ilani.
Huna logic sawa na mabua unagonja kuwashwa moto huwezi kutukana watu kamtukane baba yako
 
Zemarcopolo-Sokomoko + Zitto with Fake IDs angalia sana anaposti Zemarcopolo supporter ni Sokomoko akiposti Sokomoko supporter Zemarcopolo ,you not can fool us all the time,your mission will let you no where

Fake ID ndio kitu gani.
Nyinyi hamjazoea kuona watu wanasema mawazo tofauti. Hilo ndio tatizo lenu. Ndio maana nikimuunga mkono Sokomoko mnashangaa. Lakini Buchanan akimuunga mkono Maxshimba mnaona sawa tu!
 
Rejea post zako zote uzuri jukwaa hili kila mtu anawekewa post alizotuma wewe zako hazilingani na wengine zaidi zinafanana na za Ze-marcopolo you are the same person ngonja tukuletee Assange akuumbuwe
 
Kwani JF tumekuja kuongea mawazo yanayofanana? Hapa kila mtu anatoa mawazo yake. Kama mawazo yangu yametokea kufanana na mwingine, isikupe shida, ndio sehemu ya uhuru wa kujielezea hiyo.
 
Sokomoko hoja yako ya 4 inahitaji kuangaliwa upya.Hilo la kuona sura zile zile za viti maalum umeliona kwa Chadema tu?CCM yako mbona ina ukoloni uliopitiliza.Sofia Simba na Anna Abdalah wana majimbo hawa?Amepitishwa mara ngapi viti maalum?Magreth Sitta je?Pindi Chana?Kina Likokola?wewe acha kuliona hilo kwa wenzako.Isitoshe Dr Kitila Mkumbo nakumbuka alishawahi kutoa maelezo ya nini kilitokea.Pili,Mbowe alipoulizwa na Mwakitwange kwenye mdahalo alitoa maelezo ya kushibisha.Au hukufuatilia?Hatuongei kwa upenzi ila kwa facts zilizopo.Mwisho,chadema kutazama au kuchukua maoni ya wanaJF sio dhambi.Humu tunatoa maoni ambayo wengi wetu hatufiki makao makuu kutoa maoni yetu.Tupo mbali kwanini tusitumie nafsi hii kushauri?
Kabla sijatoka,huko CCM nako bila kutoa "ushirikiano" kwa wakubwa hupati ubunge wa viti maalum na ndio maana hawa hawana hoja bungeni za kushibisha umma.Huwezi kumlinganisha LIkokola na Suzan Lyimo.

Kwahiyo unataka kusema Chadema inaiga kwa CCM? tutegemee na nyie mkiingia madarakani mtafanya EPA zenu? Lakini mkuu utaratibu kule CCM wa Viti maalum unaeleweka ila Chadema haueleweki waulize kina Mkumbo watakuambia usibishane kwa kua unataka kubishana kisaidie chama kisije kikafa kifo cha Mende.
 
Siku zote mkuki kwa nguruwe......hii thread imekuwa km ndo umewapaka mafuta ccm kwa mgongo wa chupa...............au ulimaanisha ccm?....pole sana kwa kuchanganya vyama kwani ulivyovitaja ndiyo sifa za ccm yako ya mafisadi

Jukwaa la mapenzi lipo wazi kachangie kule kama huna hoja hapo hakuna hoja kabisa ya kujibu hii thread.
 
Serikali haiwezi kulifuta jukwaa hili. Ila swala la jukwaa kuwa la wafuasi wa chadema liko obvious.
\

Kufungwa well sijui ila kuna watu fulanifulani watakamatwa kama wale wa ze utamu kwa kutumia maneno ya matusi na lugha chafu kwa viongozi wa Serikali. Tupo hapa tutakuja kukumbushana Sokomoko alisema.
 
@SOKOMOKO. Ni chama kinachoendesha maswala kwa jazba na kusahau kuwa uongozi ni busara, ikiwa kiongozi anakuwa na jazba mara nyingi anaweza kuleta machafuko especial kwenye kundi linaloona halitendewi haki na anaweza kutoa maamuzi yake kwa jazba bila kuangalia sheria inasemaje.

Kwa upande wangu bado sijaona jazba na kiburi maana viongozi wa CDM bado wanaonekana sio wanasiasa kama unavyodai kwa maana hiyo ni wanaharakati wanaopambana kuokoa watanzania na nakushauri kama na wewe una mapenzi mema na nchi yako na unapenda maendeleo jaribu kuangalia ni jinsi gani CDM watafikia malengo yake The world technology is changing and we should change t o meet the world requirements kabla ya kufikia nguvu ya watu kama huko Ivory Cost
 
ni kweli kabisa wote wenye kufikiria tofauti na sisi wametumwa, kinachotakiwa ni kusikiliza anachotaka Mbowe na kufuatailituwe sahihi, by the way tunajua mawazo ya mbowe yanatoka kwa mkwewe.
eeh kazikwelikweli,ila sokomoko katoa ushauri ambao kama chadema na wafuasi wake kwaujumla wanatakiwa kuufanyia kazi,chadema tubadilike sio kila tuambiwacho nakushauriwa lazma tulete ubishi nakupinga nakusema wametumwa na ccm au cuf,tubadilike tuchague mazuri wanayosema kina sokomoko na wengine tuyafanyie kazi yale mazur kwa maendeleo ya chadema na taifa letu pia.
 
huo sio ushauri bali maelezo mfa maji haishi kutapatapa hata CCM kuna mengi mabaya ya kuwashauri si unasema ni chama imara jifanye unawashauri kama utafanywa kama Horace Kolimba waliomkorimba bada ya kusema chama kimekosa dira!!
 
Kwahiyo unataka kusema Chadema inaiga kwa CCM? tutegemee na nyie mkiingia madarakani mtafanya EPA zenu? Lakini mkuu utaratibu kule CCM wa Viti maalum unaeleweka ila Chadema haueleweki waulize kina Mkumbo watakuambia usibishane kwa kua unataka kubishana kisaidie chama kisije kikafa kifo cha Mende.

Inaonekana msukumo wewe Kuandika haya yote ni mbwembwe tu ila kinachokuuma ni jinsi Chadema inavyopata wawakilishi wake.....Ila kuhusu hili M/Kiti alilizunguzia siku ya Mdahalo kati yake na Hamad Rashid wa CUF. na alitoa mtiririko mzima jinsi wanavyopatikana.....siwezi kukumbuka kila neno ala ninchokumbuka ni kuwa wanaangalia vifuatavyo.
1. Elimu
2. Muda wa Uanachama
3. Uwezo wa Kuongoza
4.............................
5............................

Ni kila kipengele kilipitishwa na kamati kuu ya chama na kina maksi. So who scores high wins. That is the rule....so usiseme/ Usiandike CHADEMA hawana utaratibu wa kupata Wabunge wa Viti Maalum....Sema/Andika Huujui utaratibu wako kwa sababu wa UJINGA wako katika swala hili.

POLE
 
huo sio ushauri bali maelezo mfa maji haishi kutapatapa hata CCM kuna mengi mabaya ya kuwashauri si unasema ni chama imara jifanye unawashauri kama utafanywa kama Horace Kolimba waliomkorimba bada ya kusema chama kimekosa dira!!

au chacha wangwe alipohoji matumizi ya ruzuku za chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom