Ushauri wa bure kwa Chadema na wanaJF

Status
Not open for further replies.
ZeMarcopolo; unajua mke wa mwizi anamtetea mumuwe kwa kila jambo. wewe ni mke wa mwizi lazima umtetee mume wako, na sisi askari tukija kwako kumkamata mumeo hatutakuamni utakaposema kuwa mumeo hayupo, lazima tuvunje mlango na tumkurupue mumeo uvunguni. endelea kumtetea mumeo mwizi ila tutamkamata tu.
 
Lugha nzuri ya picha. Safi sana!
 
Nipo hapa kisiwani Ukerewe kikazi mjini ni Chadema,Vijijini Chadema,Wavuvi Chadema nk.
Cha kushangaza watu wengi wanavaa kofia na tshet za ccm ila bendera mtaa ni za Chadema.Kweli Mti wenye matunda utapigwa mawe sana mwaka huu.....2015 fainali
 
unaanza kwa angalizo ili tusikwambie ukweli.... mda uliopoteza wakati uaandika post hii ni heri kama ungeenda kumwagilia caroti..... huna akili ......

unadhani chaedma inaoongozwa na JF?....... umeingia kwenye top ten ya watoa pumba wa 2010
 
ZeMarcopolo; unajua mke wa mwizi anamtetea mumuwe kwa kila jambo. wewe ni mke wa mwizi lazima umtetee mume wako, na sisi askari tukija kwako kumkamata mumeo hatutakuamni utakaposema kuwa mumeo hayupo, lazima tuvunje mlango na tumkurupue mumeo uvunguni. endelea kumtetea mumeo mwizi ila tutamkamata tu.

Mangi tatizo hizo zote ni hasira za kubanwa kulipa kodi mlishazoea Waziri alikuwa wa nyumbani na kamishna wa mapato wa nyumbani ile misamaha ya Kodi JK kuiwengea ngumu na inayotoka kuwa ni ya halali tu imewatia sana hasira anyway tumtoe Zitto ili asije kuwa kikwazo huko mbele ya safari tukishinda urais turudie enzi zetu za kukwepa kodi.

Mbaya zaidi kuna makampuni zaidi ya 80 ya clearing mengi ya kina meku yamefungiwa kwa kuendesha ubabu mashi aisee JK pole pole kina mangi wana hasira sana.
 
unaanza kwa angalizo ili tusikwambie ukweli.... mda uliopoteza wakati uaandika post hii ni heri kama ungeenda kumwagilia caroti..... huna akili ......

unadhani chaedma inaoongozwa na JF?....... umeingia kwenye top ten ya watoa pumba wa 2010

Mkuu kumbe bado upo unaenda lini kuhesabiwa? ukirudi nataka uniletee ndizi mshare bwana.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom