Ushauri wa bure: Dkt. Mashinji hamia CCM

Mkuu Kiyalosangi, kwanza naheshimu mawazo yako. Lengo la kuweka rejea ni ili kupunguza kulisema jambo lili lile ulioshalisema kabla.
P
 
Mnataka Mashinji ajiunge na genge la watekaji nyara!! Laah!!
 
Hongera, ushauri huu wako umefuatwa
2008 - 2010 Evin School of Management (Shahada ya Uzamili (Masters) ya Public Relations (CSR)
Kiukweli mtu aliyesomea MD halafu anakuja kufanya masters ya PR na alikuwa na PR mbovu vile, huyu mwacheni aende tuu, ana very impressive CV lakini delivery ni bure kabisa!.

Ila na yeye angalau amejitambua
P
 
Haya mchukueni Kinana, sie tushamchukua Mashinji
Mkileta hizo propaganda za kijinga nyie ndo mtaumia, mchukue mashiji alafu wenzenu wakimchukua kinana msianze kulialia hapa na kumzushia kesi za uhujumu uchimi
 
Uzi wangu bado dhaifu kuhusu Dr. Mashinji kuhamia C.C.M?, uwe na akili za kujiongeza
 
Nini maoni yako kuhusu PhD ya Vicent?
 
Uzi wangu bado dhaifu kuhusu Dr. Mashinji kuhamia C.C.M?, uwe na akili za kujiongeza
Acha kukurupuka kujibu bandiko langu kabla ya kulipitia tena.

Rejea kwenye "Ushauri wangu" nilichokisema endapo Dr. Mashinji atahama CDM. Harafu ndo uje kutoa comment yako Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…