Je CCM ndio mpango mzima au Magufuli ndio mpango mzima?Naunga mkono hoja, CCM ndio mpango mzima kwa 2020.
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
P
Hili swali hata mimi niliwahi kuuliza humuJe CCM ndio mpango mzima au Magufuli ndio mpango mzima?
Huwa na kufananisha na mwandishi mmoja wa Makala za Siasa,Kila akitaka kunukuu and nukuu Kitabu chake😀😀...nawe katabia kako hiki,Kila kitu lazima uturejeshe kwa Maandiko yako...uandishi huu unaniboa Mimi ,Ni dalili za ubnafsi na ushamba wa kisomi!Sisi tulio ishia Darasa la Saba tunapenda kujifunza kutoka Kona mbalimbali...bila Shaka huu hizi Ni dalili za kupenda au kushabikia udikteta!Naunga mkono hoja, CCM ndio mpango mzima kwa 2020.