The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,088
- 14,571
Niaje wajuzi !
kuna kazi fulani nimestahili 200k (kama mil 500 )sasa kuongea na jamaa soon wananilipa wako nje ya nchi wameniomba wanilipe kwa bitcoin kama BTC 1.839926 , sasa muhuni sina hata account hiyo nikaomba ushauri nifungue wapi wakaniambia blockchain.com .kabla sijajiunga nikazama kuangalia ratings namaana maoni ya wateja waliotumia asee kumbe ina matatizo yafuatayo
1.wanatabia ya ku seaze hela za watu na kujidai wanaleta vya money laundering mpaka ukate tama
2.kuna kesi za wtu kukuta btc zao zimetolewa
3.wanasema ni trap yaani huwezi zitoa kabisa
Nikagundua ukiomba ushauri watu wanakulengesha kwenye wallet au compuni za kutoa hela zenye maslahi yao na 80% wanaanza kudhani uwashirikishe mfanye bitcoin business no SITAKI HIYO BIASHARA 100%.
wadau wamenishauri niweke kwenye BINANCE na kununua bitcoin chache za kufungua account sio ishu maana nina washkaji kibao kenya .
Naomba mnishauri ni wallet gani yenye sifa hizi
1. aminifu na adilifu
2.isiyohoji hoji hela za watu
3 .yenye uwezo wa kuhamisha kirahisi kwa tozo rafiki kwenye account zetu bongo au kwenye simu maana 90% ya hiyo hela naiwekeza kenya so kule sitasumbuka kuiwithdraw ,nataka ikiingia hata walau vihela vya kuwatoa wadau walionisaidia saidia hizi mil 5 hadi 10 niwawekee mpesa zao.NAAMBIWA NIKISHAJIUNGA BINANCE KUNA KAMPUNI YA P2P INAWEZA (MNISHAURI WAKUU)
nb : sihitaji wala kusikia swala la sijui kufanya biashara ya bitcoin wala kufanania kwake leongo ni nikilipwa within 3weeks ntakuwa nimeshatoa zote na kufuta akaunti kabisa .ntafungua nyingine nikihitaji tena .
SITAJIBU CHOCHOTE INBOX NAOMBA MAJIBU YOTE YAWE HAPA ILI WATANZANIA WENYE CHANGAMOTO YA HIVI NA NI WENGI WAPATE MWANGA SAHIHI.